Menu yangu Xmass...shemeji yenu kashaivisha

Menu yangu Xmass...shemeji yenu kashaivisha

hasa upate samaki mkavu aliyekaangwa vzr
yani we acha tuu,nikiwa tanga kwa Bibi staki Pilau wala biriani Ugali bamia nguru kachumbari bamia linatiwa nyanya chungu
na uono unakaushwa kwa ndimu na tungule kiduchuuuuu,hapo nakula mpaka basi.... wala sina makuu namalizia na juice ya
ukwajuu....
 
Back
Top Bottom