Menu mpya ya kifurushi cha boom pack TTCL

Menu mpya ya kifurushi cha boom pack TTCL

Sam 2023

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,829
Reaction score
1,979
Habari zenu ndugu Watanzania...ninapenda kuwatangazia mabadiliko katika menu ya kifurushi cha chuo yaani Boom pack (TTCL).
Awali huduma hii ilikua inapatikana *148*30# kisha unachagua 9.Boom pack lakini sasa utaipata *148*30*35# ili kuepusha usumbufu au wingi wa hatua za kuunga kifurushi.
Endelea kufurahia mtandao wenye kasi zaidi Tanzania.
Rudi nyumbani kumenoga
 
Net yenyewe ya kimagumashi!!
Njoo kijiweni!!
*149*03#
>4
>1
500mb for 500tsh mwendo wa kimondo
 
Hawa jamaa ni hatari kweny coverage!. Yaan wanapatikana kwenye kipenyo cha 10Km toka ofisin kwao. Mfano Mbeya ukianza tu SAE network haipo,ni ilombo mpaka mjini na ukishuka mbalizi mwisho darajan pale
 
Ahaaa!!
Utumie Roaming ya Tigo ila kama nao wanazingua ndiyo imekula kwako
 
bye bye ttcl...hamna jipya VODA 500 tsh 500MB pelekesheni kule...
 
IMG_5037.JPG

Hapa kwny ndipo waliponishangaza kuunga kifurushi sasa imekuwa mpk ulichonacho kiishe.

Wameshaanza kuharibu ntarudi zangu halotel muda si mrefu
 
Tuwe wakweli kuhusu data voda Ndo tegemezi japo gharama zao ziko juu tofauti na wengine.
TTCL hakuna lolote.
Wakiboresha coverage na data wala hawatakuwa na sababu ya kujitangaza tutatangaZiana wenyewe
 
Tuwe wakweli kuhusu data voda Ndo tegemezi japo gharama zao ziko juu tofauti na wengine.
TTCL hakuna lolote.
Wakiboresha coverage na data wala hawatakuwa na sababu ya kujitangaza tutatangaZiana wenyewe
Voda ndio mpango mzima hawa ttcl wateja wao watakuwa wafanyakazi wa serikali tena kama wakilazimishwa na jiwe,
 
mleta mada unaharibu biashara ya kampuni maana umeleta mada halafu hujibu hoja za wachangiaji
 
Back
Top Bottom