Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 439
- 751
Yes ma bebzUnajipakulia minyama
Yes ma bebzUnajipakulia minyama
Tuyajenge inbox ma loveYes ma bebz
Tutatoa Askar Monument pale posta tuweke lako😃😃Nijengewe sanamu
Hahah
Pazuri sanaa andaa swimming Costume mapema maana tunakaa karibu na bahari kabisa mwendo wa dakika moja umefika beach😃😃Ni huzuni kwakweli 😆😆😆
Bora hapa niliwaza bro atatoboa kwel😃😃😆😆😆😆
Unajua kiuhalisia pesa tunapqta ila ss kwenye kuweke wengi hatuna hiyo nidhamu, dawa ni vikoba na michezo tu....
Mi hapana sifiki Mil kwakweli
😆😆😆Bora hapa niliwaza bro atatoboa kwel😃😃
Unfortunately sipendi kuogeleqPazuri sanaa andaa swimming Costume mapema maana tunakaa karibu na bahari kabisa mwendo wa dakika moja umefika beach😃😃
Nimelia sanaUnfortunately sipendi kuogeleq
Hahah
Njoo uone daddy ake KimmieNimelia sana
Tulinunua nyumba karibu na beach kwa ajili yako usiwe bored na mtwara yetu🥺
Familiya sikuona hii tag. Heshima yako mkuu 🙌
Ndugu yangu huyo anajua huwa nikiingia JF notifications zote napiga mark read usiponipa taarifa kule eFootball kama umenipa tag mahali unaweza hisi nimedharau 😂🙌
Kijana wangu analeta taharuki 😂Njoo uone daddy ake Kimmie
Shwari umepotea sana kakFamiliya sikuona hii tag. Heshima yako mkuu 🙌
Alimmisi sana 😂 hawezi bisha
😂😂Shikamoo mkuuMkubwa wewe sasa 😃
Naomba nikusalimie huku nimekushika miguu kaka😃😂😂Shikamoo mkuu
Nimekuta kujibu