Ndio unaanza, vitatu utalewa uzimeSikuonja, Ntumie vitatu😁
Kwahiyo mimi sina wa kujitaja humu?
Usinichekeshe mbona zipo kibao! Em ngoja nikutag😁
dah!😅 basi tutanza na kimoja na nusu kwanzaNdio unaanza, vitatu utalewa uzime
Inamaana gani hii user name yako?
Nikikuambia itabidi nifute account yangu 😂😂Inamaana gani hii user name yako?
Kwasabu gani?Nikikuambia itabidi nifute account yangu 😂😂
Huu Uzi Bado upo?
Niaje