Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,496
- 19,099
Nimeingia humu nikasema subiri nikutag ili nikusumbue kumbe ushaanza kusumbuka muda tudah!😅 basi tutanza na kimoja na nusu kwanza
Sawa bwana masumbuko
Nimeingia humu nikasema subiri nikutag ili nikusumbue kumbe ushaanza kusumbuka muda tudah!😅 basi tutanza na kimoja na nusu kwanza
I really missed you santana🥰Huu Uzi Bado upo?
Thank you Dearest 🥰
You ain't disturbing me, Najua huu ni upendo, ubarikiwe sana .
ehee, la msingi kuyumba sio kuzima 🥳dah!😅 basi tutanza na kimoja na nusu kwanza
Weapon of Jedi, Kwenye Star wars Movie ,light SaberKwasabu gani?
Upo makamu wa raisi 😁Nimeingia humu nikasema subiri nikutag ili nikusumbue kumbe ushaanza kusumbuka muda tu
Sawa bwana masumbuko
Daah 😅 hunitakii memaUpo makamu wa raisi 😁
Singida hawajambo , ni baridi /upepo Tuu unatupa changamotoNiaje
Singida hawajambo?
Imetosha kabisa😊Weapon of Jedi, Kwenye Star wars Movie ,light Saber
Ila hiyo imetosha sasa ni another story
Mniandalie na notes kabisaa🤸🏽♀️Huyo anafaa japo hashindwi kutusahau tumsainishe mkataba kabisa 😅
😅wazo zuri, akiingia tu madarakani utuwekee mishahara ya wabunge kwenye acc kila mwezi 😁Huyo anafaa japo hashindwi kutusahau tumsainishe mkataba kabisa 😅
Thank you Dear, I really appreciate this🙏I really missed you santana🥰
Acc zipi ? NMB au ?😅wazo zuri, akiingia tu madarakani utuwekee mishahara ya wabunge kwenye acc kila mwezi 😁
Hata za m pesa tu cha muhimu muamala usome la sivyo tunandamana atoke madarakani 😁Acc zipi ? NMB au ?
Oya me nina account zangu za Abu dhabi huko aweke mshahara wa abdul 😁
Am so good mamaake!Thank you Dear, I really appreciate this🙏
Here I am, hopefully you're doing fine.