Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,196
- 79,643
Ukifika kilo 60 nitakupa zawadiAisee! Huu mwaka umeanza vizuri kwangu
Picha linaanza diet nimeiweza
Ukifika kilo 60 nitakupa zawadiAisee! Huu mwaka umeanza vizuri kwangu
Picha linaanza diet nimeiweza
😍Itafute walaqhi😎Hahhaha em ngoja niitafute
Mwaka huu nipo bize na hela 😀Hii mbona imesound serious sana. The majesty Vin 🤣🤣 Bado unamaumivu na yule aliyepita na kizuri chako?
Akiii unanipa kazi ya kuitafuta kwenye gallery ngoja nikitulia nikiipata nitaiwekaItafute walaqhi
![]()
Utaibariki jioni yangu hii Leo😎😎Akiii unanipa kazi ya kuitafuta kwenye gallery ngoja nikitulia nikiipata nitaiweka
Fanya hivyoAkiii unanipa kazi ya kuitafuta kwenye gallery ngoja nikitulia nikiipata nitaiweka
Utaibariki jioni yangu hii Leo![]()
NitajitahidiFanya hivyo
Hahahaha, KHERI YA MWAKA MPYANitajitahidi
Sitaki 60! Nataka zangu nicheze kwenye 75Ukifika kilo 60 nitakupa zawadi
Zikifika Nina zawadi yako 😎Sitaki 60! Nataka zangu nicheze kwenye 75
Huna haya!🤣Zikifika Nina zawadi yako 😎
😀😀JameniHuna haya!🤣
Ni nani huyo mkuu naomba kumfahamu.Hii mbona imesound serious sana. The majesty Vin 🤣🤣 Bado unamaumivu na yule aliyepita na kizuri chako?
Safi sana mkuu. Uwape elimu wanawake wengine pia.Sitaki 60! Nataka zangu nicheze kwenye 75
Shukrani we mzee na kwako piaHahahaha, KHERI YA MWAKA MPYA
Elimu ganiSafi sana mkuu. Uwape elimu wanawake wengine pia.
Ya hiyo diet iliyokusaidia.Elimu gani