Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Sio lazima ye akucheck vin ata wewe unaweza muanza
Napenda unavyompa matumaini hewa. 🤣
[emoji1787] Lee alivurugwa yaani wanaume wakiingia makapuku wakianza kuchart na mimi anawafukuza [emoji1787][emoji1787] nikiwa mmu nikikutana nao wananiambia shunie hatuji tena mwanaume wako mkali sana kaka yako nae alikuwa mbishi wanabishana vibaya mno
🤣🤣Na anakua(ga) wa moto mkali. Kweli ni futa lako.Aikkoo mbali na utawala wenu kapuku republic
 
Back
Top Bottom