Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,946
Fifi wa moto 😂Anamuogopa fifi huyu🤣
Fifi wa moto 😂Anamuogopa fifi huyu🤣
Akikutumia huo muamala usinikose kwenye ufalme wako dearKwani si Kwa cm tu au ni miamala ambayo cm hairuhusiwi 😅😅
UchoyoTupo tunapika
Msije sema sikuwaita mje kula View attachment 2744000
Na mimi nikupe account??Hujanipa acc number
Simu si unajua line zenu hizo mwisho kupokea mil 2. Dubai nauli g&r + kukaa wiki comfortable hapo kama 3m hiviKwani si Kwa cm tu au ni miamala ambayo cm hairuhusiwi![]()
Akikutumia huo muamala usinikose kwenye ufalme wako dear

Wewe subiri zamu yako baada ya mama mchungajiNa mimi nikupe account??
Simu si unajua line zenu hizo mwisho kupokea mil 2. Dubai nauli g&r + kukaa wiki comfortable hapo kama 3m hivi

Wewe subiri zamu yako baada ya mama mchungaji

Ukiniambia kuhusu ZARA nacheka sana, kuna mrembo wangu flan ndio mambo yake hayo yeye ni mtu wa brands tu. Akiwa huko ni mipicha picha tuHaimtoshi hiyo ebu muongezee yani aende Dubs alafu asipitie hata kwa ZARA achukue slipper ya dollar 100![]()


Umeniambia kitchen, leo kuna vitu nimejaribu mwenyewe kuvipika dada kakaa pembeniNaenda kuchekea kitchen![]()
Huku ni baridaaa yaan.Habari kwako kipenzi changu my boss lady Antonnia
Uhali gani Lovelovie Saint Anne Tayana-wog mshamba_hachekwi Mnara wa Tz cocastic




Ukiniambia kuhusu ZARA nacheka sana, kuna mrembo wangu flan ndio mambo yake hayo yeye ni mtu wa brands tu. Akiwa huko ni mipicha picha tu
Yupo class ya juu sana
Umeniambia kitchen, leo kuna vitu nimejaribu mwenyewe kuvipika dada kakaa pembeni

Kwema nambie,Mbona umecheka sana?? Kwema??