ACADEMIA TODAY
Senior Member
- Jun 7, 2013
- 179
- 86
mimi mwanamke jamani, sorry nimeingilia mada yenu.
ila kaka upo sahihi, mie mwenyewe sipendi mwanaume ambaye yupo tayari kuchart na mimi all the time, kwanza nitamdharau na kumuona hana shughuli nyeti za kufanya.
Shkamoo Konnie. . .
Au ukute wao ndio wanagegedwa. . .wanawake tunaweza atiiii.
Kuondoa hili tatizo usiingie kwenye ndoa kama kufuta aibu, ingia kwenye ndoa na mtu aliye tayari kukufanya mkewe na sio mzazi mwenzie...nafikiri umeelewa hakuna mwanamke au mwanamme anayebadili tabia baada ya kuolewa/kuoa...tabia zote anakuwa nazo sema tunajifariji kwamba tutawabadilisha. Mwanamme akimpenda mwanamke ni zuzu ktk himaya yake. Bora ubaki bila kuolewa kuliko kujaribu ndoa.Sasa wewe ulitakaje?
Siku moja unaamka asubuhi UNEXPECTEDLY unakutana na mabox+mabegi sebuleni, sio naondoka ghafla ghafla na kipochi changu huku mimacho imenivimba. Nakaa chini najipanga, siku nikiondoka naondoka na kujiamini kwako.
Ayanda upo mkuu?
nilikukosa sana mitaa hii.
Salam wakuu,
As the title of the top clearly describes itself above, this thread is about us men. Let's share the things ambavyo vinakera ambavyo perhaps umeshawahi kukutana navyo katika mahusiano au umeshuhudia mtu wako wa karibu akifanyiwa ambacho ni kero. As for me, hakuna tabia inayonikera kama ya baadhi ya wanawake kutokua na usiri wa baadhi ya vitu ambvyo vinginevyo ni more private. Forinstance, unakuta mtu una gf wako mnapendana tu fresh lakini kila kitu mnachofanya yaani lazima akawahadithie mashoga zake. Saa zingine mpaka conversation zenu kwa texts anawaonesha wenzake au sometimes anaweza akakuweka kwenye loudspeaker (shit!) Wenzake wakawa wanakuchora. Mimi iliwahi kunitokea nadhani na chat na gf wangu kumpe kampa rafiki yake simu ndo anajibu texts zangu ila baadae nikashtukia chezo kwani kuna baadhi ya vijineno (like code words) ambavyo tulikua lazima tuviongee wakati tunachat hakuweza kuvitambua. Kwa kweli hii ni kero yangu kubwa katika mahusiano, na kero nyingine pia ni kitendo cha wakati mwingine kuingizia story za ex wake (wtf?) Katikati ya maongezi kitu ambacho kinakupa karaha sana. Yeye anadai walisha achana usijali lakini bado ni marafiki (I take this as a dormant volcano kwamba its not dead but rather inaweza one day ikaja ika erupt). Pia kuna swala la kupenda kwenda sawa na marafiki, kuna baadhi ya wanawake wanatabia ya kupenda kushindana na wenzao in terms of dressing, cellphones, bata etc. Ukijaribu kumueleza hali halisi ya baba wa taifa mifukoni kwamba anapumulia oxygen machines inakua ugomvi, viburi vinaanza etc. Je, wewe ume encounter kero gani katika mahusiano?
Uko sahihi kabisa hela ya mwanamke huwezi iona kabisa Cjui wanafanyaga nn
Mwanamke ni kama empty box, unapokua nalo usitarajie kutoa kitu ndani yake, bali tegema ww ndio uweke kitu ndani yake. Otherwise ukiwa unategemea kitu flani positive kutoka kwake utaumia, bcoz its empty box.
Ndio maana Biblia imeandika muishi nao kwa akili
ukiwa na rafiki wa kike ambaye alishakuwa na mahusiano ujue huyo ni mpenzi wa mtu mwenyewe siku akitaka atakula tu!
Siogopi kugongwa.
Uko more than right mkuu, mtu anajenga kisiri siri sijui anakua anajihami vipi wakati tayari mmekua familia kila kitu kinapaswa kuwekana wazi.
Marahaba
Wanataka kutufanya hatujui tutakalo, kama vile tukigegedana ni sie tumedanganywa.
Kuondoa hili tatizo usiingie kwenye ndoa kama kufuta aibu, ingia kwenye ndoa na mtu aliye tayari kukufanya mkewe na sio mzazi mwenzie...nafikiri umeelewa hakuna mwanamke au mwanamme anayebadili tabia baada ya kuolewa/kuoa...tabia zote anakuwa nazo sema tunajifariji kwamba tutawabadilisha. Mwanamme akimpenda mwanamke ni zuzu ktk himaya yake. Bora ubaki bila kuolewa kuliko kujaribu ndoa.
amekuambia KUGONGWA NYUMA!JE HIYO HUOGOPI?YAANI TUAMBIE KAMA UNAFURAHIA KABISAAAA
Kama wanawake wabaya hivi, si muoe wanamme? Khah, mtuwache tupumue na uji.nga wetu.
Mkuu mleta mada hebu kwanza kwa niaba ya wanaume wote nikushukuru kwa kuileta hapa jukwaani.
Kisha moderate tutoe kero zetu na tusaidiane solution tusiwalaumu tu.
Ladies please let us discuss our things....Someni tu lakini msichakachue mada!!(Sisi vichwa vya nyumba tuna majukumu eti!)
Mimi kero yangu moja tuu....Ladies hawaembrace mfumo mmoja wakatulia na kuufuata! Atatangaza usawa kwenye uchumba na wewe kihaki utampa nafasi kwenye maamuzi. Saa linapokuja swala la matumizi atatoa kidogo kisha anakwenda kutangaza mimi kwangu ni 50% 50%.
Unakuta umetoa matumizi ya chakula ya kucover labda wiki3 za mwezi ye anatoa wiki 1 mishahara yenu haitofautiani kisha huyo mdomo na shostize eti maisha kusaidiana!!!! 50%50%(not my house though mke wangu is alright)
Matumizi ni mengi jamani KWA AKINA MAMA
Salon( nywele, kucha, facial, miguu, nyusi, kope) mavazi( mara ya mwisho umemnunulia lini mkeo nguo?)
je nguo za watoto unanunuaga?
na kama hununui, je huwa unatoa pesa ya mavazi?mara ngapi kwa mwaka? sh.ngapi?
Mnalalamika tuu hela ya mwanamke huioni, majukumu anayo mengi ambayo akiamua kukuorodheshea utakimbia.