Kama wanawake wabaya hivi, si muoe wanamme? Khah, mtuwache tupumue na uji.nga wetu.
Kazi ipo kaka... wanajijua hata humu wapo wengi kwani hili kundi lina wengi sana, si ulimsikia yule dada wa Arusha aliyotoa hela kwa majambazi wauwe mme na mwanae wa kufikia ili aridhi mali...baadhi ya wanawake wamesahau kabisa nini walichoambiwa kwenye vitabu vya mungu.Tena hapo kwenye kujiandaa na maisha ya baada ya kuachana wapo wengi saaanaaa... Yaani mtu yupo ndani ya ndoa halafu anajiandaa kuacha, yaani utafikiri ameajiliwa halafu anajiandaa kuacha kazi... KAAAZZIIII KWELI KWELI..
1. Kutaka yeye achukuwe nafasi ya mama mzazi, ndugu, marafiki etc etc yaani utafikiri alikukuta peke yako duniani kwamba huna unayemfahamu zaidi yake
2. Utakuta kipato kinajulikana, na vya kununua vinajulikana, lakini yeye atataka mkae kikao mjadili kununua mchele, sijui gesi, DSTV, unga, etc (wakati inajulikana huwa mnanunuaje).
3. Hela zako ni zenu, lakini hela zake ni zake... Yaani ikitokea kanunua kitu home, ujuwe umekopeshwa hicho, lazima uje ulipe...
Kazi ipo kaka... wanajijua hata humu wapo wengi kwani hili kundi lina wengi sana, si ulimsikia yule dada wa Arusha aliyotoa hela kwa majambazi wauwe mme na mwanae wa kufikia ili aridhi mali...baadhi ya wanawake wamesahau kabisa nini walichoambiwa kwenye vitabu vya mungu.
Hapo bold hela zake ni za kununua kiwanja na kujenga kwa siri eti anajiandaa kwa maisha ya kujitegemea.....Ujinga mtupu tena wanaume wengi wana huu msiba, wewe unapambana na familia mwenzio anapambana kutafuta rasilimali zake.....Kuna wanawake wabinafsi sana na nashangaa hili kundi linakuwa siku hadi siku....Wanadanganywa na Joyce Kiria huku yeye ametulia na kuheshimu ndoa yake kama mwanamke na sio mwanamme.
Nyie tunawagegeda tu hatuwaoi...
Eti utakuta mwanamke anapotaka kuolewa utamsikia... ALL MEN ARE THE SAME, NI KAMA WAMEZALIWA NA MAMA MMOJA.... lakini still yet wanahangaika kuchagua Mr perfect..
1. Kutaka yeye achukuwe nafasi ya mama mzazi, ndugu, marafiki etc etc yaani utafikiri alikukuta peke yako duniani kwamba huna unayemfahamu zaidi yake
2. Utakuta kipato kinajulikana, na vya kununua vinajulikana, lakini yeye atataka mkae kikao mjadili kununua mchele, sijui gesi, DSTV, unga, etc (wakati inajulikana huwa mnanunuaje).
3. Hela zako ni zenu, lakini hela zake ni zake... Yaani ikitokea kanunua kitu home, ujuwe umekopeshwa hicho, lazima uje ulipe...
Sorry nimeingilia mada, Naona mnajaribu kuelezea kero mnazokutana nazo bila kupeana ufumbuzi. Na ufumbuzi huwezi kuupata mpaka ujue tatizo ni nini. Mlitakiwa muongee na sisi wanawake ili mjue tunataka/tunategemea nini kwenye mahusiano.
Kwanza ili kuwe na balance kwenye kuwa-treat ndugu wa pande zote mbili cha kufanya Usimpe majukumu ya kulea familia mke wako. Mambo ya mshiko kwa ajili ya chakula na mazagazaga mengine pale nyumbani usimbebeshe mke wako jukumu hili kwa sababu si la kwake (vitabu vyote vya dini vinaelekeza). Wewe muwezeshe kifedha, yeye atasimamia mambo yaende sawa. Hapo sasa akianza ubaguzi, basi huyo atakuwa ana lake jambo.
NARUDIA TENA KWA MSISITIZO: JUKUMU LA KULEA FAMILIA SI LA KWETU SISI NI WASAIDIZI TUUUU!
Mwanaume hasifiwi KULA ni majukumu.
ukiwa na rafiki wa kike ambaye alishakuwa na mahusiano ujue huyo ni mpenzi wa mtu mwenyewe siku akitaka atakula tu!

Mwanamke ni kama empty box, unapokua nalo usitarajie kutoa kitu ndani yake, bali tegema ww ndio uweke kitu ndani yake. Otherwise ukiwa unategemea kitu flani positive kutoka kwake utaumia, bcoz its empty box.
Ndio maana Biblia imeandika muishi nao kwa akili
Ilikuwa zamani ndugu yangu wa sasa hivi ni kama wanaume uliosema hapo juu, wanawapanga wanaume hata sita na wote wanategemea kumwoa...Hushangai yule mkenya aliyeamua kuolewa na wanaume wawili??????????
Mwanamke ni kama empty box, unapokua nalo usitarajie kutoa kitu ndani yake, bali tegema ww ndio uweke kitu ndani yake. Otherwise ukiwa unategemea kitu flani positive kutoka kwake utaumia, bcoz its empty box.
Ndio maana Biblia imeandika muishi nao kwa akili
Tena hapo kwenye kujiandaa na maisha ya baada ya kuachana wapo wengi saaanaaa... Yaani mtu yupo ndani ya ndoa halafu anajiandaa kuacha, yaani utafikiri ameajiliwa halafu anajiandaa kuacha kazi... KAAAZZIIII KWELI KWELI..
Hata sasa tupo we mwana we! km ww hujakutana nae basi tupo
utambue hilo
Hahahahaha. . .Kwani nyie hua mnakurupuka tu kuacha?
Kujiandaa ndio mpango mzima, hamna habari za "ohhh I made a mistake, bado nakupenda sijui nakuhitaji". Nikiondoka baada ya maandalizi ndio BUH BYE!!!!
Shkamoo Konnie. . .Tunagegedana, sio mmoja anamgegeda mwenzie
Lazima utakuwa unasubiria ndoa wewe na kama unamaanisha na unayo ndoa imeshavunjika miaka mingiiiiiiiiiiiiiiiiiii.