asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Mnaokataa,kwa hyo tubaki na umaskini wetu tu???tunaenda kwa mwanasheria na mkataba kabisaa,chezeya umasikini wewe..ntaomba Mungu anisamehe afterwards
I can guarantee you after the act , hamtaweza kuishi na hayo moyoni mwenu...............
mtaishia kulaumiana na kumwagana tu........
Karibu sana
Dude I watched the movie when it came out back then. I still think that you can't assign a dollar tag to dignity.
we will see a psychologist,marriage councillor etc etc,na honey moon tunaenda upya nkhela si ipoo...getting over smthing is a choice,japo ts easier said than done
No...haiwezekani hata kidogo! Na kama nitatokwa na akili nikaruhusu hilo litokee nitakuwa mwanaume wa kwanza kufanya hivyo, unakumbu kumbu nzuri contract waliyosign John Gage,diana murph na woody harrelson ulikuwa wa usiku mmoja ila angalia madhara yaliyotokea baada ya billionare kunogewa na mke wa mtu!
hahah mkuu400m/= unasema No?! kwani anaichukua?! au utamu utapungua?! au ataacha doa?!
hahah, mkuu mwisho wasiku wote waligundua bado wana feelana, ila kudadeki jamaa alipata stress za hatari sanahivi hilo neno hapo gharama yake inazidi 400m!!!!
mchongo kama huo ukija mezani ukiuchomoa ukweli hata wife atakuzunguka atampelekea huyo taita kei yake kwa bei poa..
donlucce: unisaidie hivi demi moore wakati anarejea kutoka kwa yule Don hivi alimwambia yule kapurwa mwenzangu eti alimpa kei tu na moyo ulikuwa kwa msela duh kaazi kweli kweli
ndio hapo sasa mkuuunaweza kukataa halafu ukasikia msukuma mkokoteni kammega bureeee
hahah, itabdi muombe remiximagine mkifika kwenu mnavamiwa na majambazi wanasepa na mkwanja wote! tehe tehe, sijui mtaomba jamaa apige remix?