KAMA HAUTAKUWA NA ISSUE YA KUUMWA AS MINYOO MAYBE UTAKUWA NA PHYSIOLOGICAL ISSUES KAMA MSONGO WA MAWAZO NA BURDEN OF DUTIES KAMA UNAPIGA MISHE NYINGI BILA MAPUMZIKO YA AWAMU KWA AFYA.Kula yangu ni ya mgogoro huwa sijui kwanini hili tatizo limeshakuwa sehemu ya maisha yangu
Yaani naweza kula mchana tu na usiku nisile kabisa na wala sioni shida na kitu inaitwa breakfast imenishinda kabisa