Men's love for food

BenKaile

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
443
373
My today thought as one among many Men out there.. "It’s absolutely unfair for women to say that guys only want one thing: sex. We also fancy food."
 
Kula yangu ni ya mgogoro huwa sijui kwanini hili tatizo limeshakuwa sehemu ya maisha yangu

Yaani naweza kula mchana tu na usiku nisile kabisa na wala sioni shida na kitu inaitwa breakfast imenishinda kabisa
 
KAMA HAUTAKUWA NA ISSUE YA KUUMWA AS MINYOO MAYBE UTAKUWA NA PHYSIOLOGICAL ISSUES KAMA MSONGO WA MAWAZO NA BURDEN OF DUTIES KAMA UNAPIGA MISHE NYINGI BILA MAPUMZIKO YA AWAMU KWA AFYA.
 
Wanawake wamenishambuliaga sana nikizungumzia chakula
HAHA WANAONA KITU CHA AJABU ILA KUNA AKINA SIE WITH MATTERS OF FOOD NI MJADALA MPANA SANA. YANI NASHUKURU KUJUA KUPIKA MAANA HAO WAMESHAKUWA CHANGAMOTO TAYARI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom