hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
Mpaka mtandao wa kikwete uje uvunjwe nchi itabako tupu nadhani fedha zao walizomwingiza kwenye uraisi 2005 wanazichukua kwa njia ya kumaliza mali
Hivi lile sakata la fedha za EPA kutumiwa kwenye kampeni za CCM kipindi cha uchaguzi limeishia wapi?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums