Meno ya Tembo yakamatwa Uwanja wa ndege Dar...

Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.

Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.
Usisahau kuwambea, wamejitoa muhanga. Kuna ambao hawafurahi.
 
Magamba walisea mbowe mzushi.mbona hizo nyara zimengezewa thamani?Eeeh bwan eeh viwanda vya kichina viboko.
 
kato.jpg

Huyu mvietinam alikuwa anatoka msumbuji na shirika la ndege la nchi hiyo. Alikuwa abadilishe ndege nyingine ya shiraka la emirates inayokwenda dubai baadaye aunganishe Vietnam. Begi alikamatwa nalo mkononi kwenye sehemu alipokuwa anasubiri kubadilisha ndege.
 
Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.

Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.

ah hahaha haha haha haha ha ha, yeuuwiiii. U made my NIGHT....! Teh he he., no mo words.
 
You have a point, hata mie nina mshangao.
Mara madawa, mara meno ya tembo within 2/3 days.

mzee wa kujifia zamani, alisahau majukumu yake hakujua kama na uwanja wa ndege ni sehemu ya wizara yake, ye alijua ni dala dala, bandari na gari moshi. Miaka kadhaa iliyopita kuna mjapani moja nilipata kuishi naye mwanza na dar, aliita DIA (enzi hizo) lango la Jiji, ndo'nimeanza kuelewa maana yake ya kuuita lango la jiji.
 
Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.
Ni vema tukiri kuwa kuna tatizo kubwa sana na wala tusjijaribu kuficha au kutoa utetezi tu.

Hao askari wameona leo ndiyo fursa ya kuonyesha wanafanya kazi.
Ukweli kuwa ujanja wa kutumia bangili upo na ni wazi tembo wameshauawa sana na hao askari wanaosifiwa walikuwa wanajua. Kinachofanyika ni kujaribu kujikosha kulinda vibarua vyao.

Eti leo wamekamata bangili wakati mabegi ya kilo 150 yamepita hapo hapo bila wao kujua tena hata kufanya review ya CCTV hawakuweza. Leo wanataka tuamini wanafanya kazi.

Niseme wazi serikali ya JK imeshidwa kwa kiasi kikubwa sana, hakuna sehemu isiyo nuka. Madawa, tembo, tindikali na kila aina ya uchafu unafanyika kuliko nyakati nyingine za maika 50.

Hawa wauza pembe wasingefanikiwa kama serikali ingeonyesha ina kujali.
dege linatua linachukua wanyama serikali haionekani kushtauka.
Wanakamata walinzi kwa usanii. Kuna mlinzi anaweza kuruhusu ndege ya kijeshi kutua nchini?

Tena wanaohusika kwa biashara hii ni sehemu ya serikali kwa sababu wao ndi wapo katika CC.
Hivi inawezekanje mtu atuhumiwe meli zake kusafirisha pembe, halafu afisa wa kampuni yake akamatwe na pembe bado mtu huyo akae kwenye kikao cha kuzuia uaji tembo na kuja jibu!
 
Uhalifu kama HUU sio wa WANANCHI ni LOOP HOLES ambazo serikali na VIONGOZI wake ndio wanaochota na kuvuruga NYARA za SERIKALI kwa Manufaa ya Matumbo yao

Mfano MZUNGU aliyeripotiwa na HOUSE GIRL wake; Ni Kiongozi BANDARINI Dar Es Salaam na hicho cheo hakukipata kwa QUALIFICATION alikipata kwa kujua VIONGOZI wa NCHI HII na chama TAWALA; Akapata cheo ili tu aweze kufuja MALI ZA NCHI HII na ZAWADI ni kuwawekea VIONGOZi PESA NJE YA NCHI

IT IS SICKENING; Toka CCM Ilifute AZIMIO LA ARUSHA na kulibadilisha na lile AZIMIO LA ZANZIBAR; Nchi imekuwa haiwezi kutawalika --- Sasa hakuna nguzo kuu TANO KUU za kuwalinda VIONGOZI wetu

Wako free kufanya UCHAFU wowote nchini; Nchi ina MADINI na GAS lakini kinachoshangaza eti kuna KIWANDA cha KUTENGENEZA MADAWA YA KULEVYA

Vijana wengi wa nchi hii wanawekwa kwenye JELA za NCHI za NJE wakati wa UTAWALA HUU kwanini? Sasa Kuna kijana Mmoja yuko JELA HUKO HONG KONG anajuta kwanini SERIKALI MPYA YA CCM iliamua kuvunja AZIMIO LA ARUSHA; Anajuta kwasababu Vijana walikuwa wanapata KAZI wakati huo; Mashirika ya Serikali yalikuwa yanaajiri vijana wengi Mshahara pamoja na kuwa MDOGO ulikuwa unatosheleza FAMILIA kulikuwa hakuna UNYAMA kama sasa...

FIKIRIA ni kwanini VIJANA wengi wanadiriki kufanya hii biashara ya hatari wakati huu kuliko wakati nchi ilipokuwa na USAWA na Siasa za UJAMAA ambazo ZIMETUPWA chooni na AZIMIO LA ZANZIBAR
Azimio la Arusha ni fikra zilizopitwa na wakati katika karne hii tuliyopo. Kama kweli hilo Azimio la Arusha lilikuwa zuri kiasi hicho, ilikuwaje kukawepo uhujumu uchumi nchini?.

Kwa hiyo nchi zote zenye mafanikio zina Azimio la Arusha!!.

Extremely hilarious.
 
Inaelekea uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere umeshakuwa uchochoro wa kupitisha vitu haramu, madawa ya kulevya, meno ya tembo n.k. Hii ni kumkosea heshima baba wa taifa ambaye uwanja huo ulipewa jina lake ili kumuenzi lakini matendo yanamdhalilisha sana ni bora na jina libadilishwe
 
Azimio la Arusha ni fikra zilizopitwa na wakati katika karne hii tuliyopo. Kama kweli hilo Azimio la Arusha lilikuwa zuri kiasi hicho, ilikuwaje kukawepo uhujumu uchumi nchini?.

Kwa hiyo nchi zote zenye mafanikio zina Azimio la Arusha!!.

Extremely hilarious.

Uhujumu UCHUMI ulikuwa ni MFUMO wa UCHUMI na uko katika kila TAIFA kwa Majina tofauti yawe ya KIBEPARI au ya FIKRA zingine

Uhujumi UCHUMI wa Tanganyika ulitokana na baada ya VITA VYA KAGERA; kabla ya vita vya Kagera NCHI ilikuwa na Foreign Reserves za kutosha Mpaka mataifa ya nje matajiri yalikuwa yanaionea wivu acha FOREIGN CURRENCY RESERVE tulikuwa na GOLD RESERVES; kwahiyo wakati huo IMF no WORLD BANK wangetuambia chochote...

Lakini wakati wa VITA Mataifa ya NJE yaligoma kuiuzia nchi yetu SILAHA kwa bei ya SOKO LA DUNIA; nchi zote ziligoma ikabidi serikali inunue silaha toka kwa MIDDLE MEN's kama vile kina ADNAN KASHOGGI ili tuweze kushinda vita; Hatukupata Msaada wowote toka Nchi za Nje...

USA wana strict law inayowaangalia VIONGOZI wao kutochota PESA au kujilimbikizia biashara haramu wakati wakiwa kwenye kazi za serikali kama congressmen au secretaries... na kama wakikutwa na chochote kibaya wanashitakiwa na FEDERAL GVT na inaweza kutaifisha mali zao...

Sisi tulikuwa na AZIMIO LA ARUSHA lilikuwa linawachunga VIONGOZI wetu wasiwe na ulafo wakiwa Madarakani na kuchota na kusahau wananchi

Toka waliue hawakuweka chombo chochote cha kuwamulika viongozi nchini; ndio hayo sasa unaona Biashara ya Meno ya TEMBO; Biashara ya Madawa ya kulevya na unajua ni VIONGOZI wetu au watu ndani ya system wanaoshiriki --- Sasa hakuna sheria ya kuwafikisha Mahakamani hata kutaja Majina yao... TUKO KIMYA tunawaficha

AMKA wewe Mwananchi hauna upendo? sasa unadhani ni nini kinachoturudisha nyuma....
Haya kama lilikuwa baya mbona wanaanza kupeleka tena vijana wa form 6 JKT? sababu vijana wa sasa wa Internet na IPHONE''s hawana Uzalendo

everything to them is extremely hilarious.....
 
Wewe unaishi wapi?

Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.

Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.
 
Na huyo askari aliyekamata aliajiriwa na Serikali ya chadema, au sio?

Inaonekana shuleni ulikuwa unakuwa wa mwisho kwenye kila kitu! mwaka unakaribia kwisha sijawahi kuona point hata moja zaidi ya kusifia visivyo sifika.
 
Utumbo wa kuku huu. Isinge kuwa Dr Harrison Mwakyembe, tungefahamu hili.

Hata Mwakyembe anatuchea drama, toka lini Ziara ya kushtukiza tena alfajiri ikawa na coverage ya vyombo vya habari vyote? Hiyo ilikua planned kabisa
 
Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.

Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.

Hii nchi hakuna kikosi kinachofanya kazi yake kwa uadilifu
asilimia kubwa ya hawa rangers wako ki maslahi yao zaidi.
Kama vikosi vya kuzuia ujangili tu vingekuwa vinafanya kazi yake ipasavyo tembo wasinguawa kwa speed ya sasa.
Hivi vikosi mara nyingi sana hutumika katika ujangili na sio wa tembo tu hata wa wanyama wengine.
 
Back
Top Bottom