Lakini ndio wizara zenye funika kombe mwanaharamu apite hii ndio chama cha Machafuko aka ccmSidhani kama kuna alieongoza wizara ya maliasili pamoja na Nishati na Madini asiekua na kashfa! Hizo ndio wizara zilizokua na ufisadi wa hatari nchini.
Ivi yule twiga aliyekatiwa visa na passport then akapewa VIP seat kwenye ndege mnamkumbuka???
Naomba mniambie atakapokuwa amerudishwa....................???
Mana ili ni jipu lililoivaa na linaitaji kutumbuliwa bila ganzi....???
Kabla ujaanza na mtoto anza na baba kwanzaIvi yule twiga aliyekatiwa visa na passport then akapewa VIP seat kwenye ndege mnamkumbuka???
Naomba mniambie atakapokuwa amerudishwa....................???
Mana ili ni jipu lililoivaa na linaitaji kutumbuliwa bila ganzi....???
Waongo sana, watakuwa wanamsingizia tu.Nyumbu bwana ccm imefanya nini sasa
Baada ya kugundulika leo ndio kuna wongo? ALITUMIA NDEGE GANI KWENYE KAMPENI?Waongo sana, watakuwa wanamsingizia tu.
Sijawahi kusikia hata tembo mmoja kauliwa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] umejibu vema na mwenye kukuelewa akuelewe[emoji113] [emoji61]Waongo sana, watakuwa wanamsingizia tu.
Sijawahi kusikia hata tembo mmoja kauliwa
Busha kabisaAisee kuna dalili za jipu kuanza kuiva iva.............
Mnapakazia watu sana nyie.Baada ya kugundulika leo ndio kuna wongo? ALITUMIA NDEGE GANI KWENYE KAMPENI?
wanajuana hawa majangiriKinana alimwita Nyalandu mzururaji hadharani. Kumbe alikuwa bizi anajitengenezea kajipu kake
HahahaaNdege aliyofanyia kampeni niyanani?
magaidi haoFisi huyo alinya akiwa chama gani? Alikua kwenye serekali ya nani? Na alikua kwenye wadhifa gani? TAFAKARI ALAFU WACHA UFISI
Kinana alimwita Nyalandu mzururaji hadharani. Kumbe alikuwa bizi anajitengenezea kajipu kake
Nyaland ni jib hata magufuli analijua hilo mbona ni suala la takukuru kumulika uozo huu kwa sabab naona hili jip ni saizi yao kabisa .
Lizaboni njooni jamani mnisaidie huku.Ndege aliyofanyia kampeni niyanani?
CHAMA CHA MACHAFUKO (CCM)