Editorial Comment: Mwananchi Gold: The truth shall set you free
We say this as we are reliably informed that even the CCM's Central Committee is yet to be informed about the venture - so unlike CCM. We know the ploy is to drag in CCM so that we get cold feet, but this CCM is not that of yesteryears. We invite Mwananchi Gold to closely watch the way its chairman walks his talk.
Huyu Mengi atakuwa na hela nyingi sana. Bil 100, Bil 12, za Warioba kiasi gani vile?Wiki iliyopita balozi wa Tanzania nchini Italia, aliyemaliza muda wake hivi karibuni, Profesa Costa Mahalu, alimshitaki Mengi, wahariri na waandishi wa magazeti yake kwa kashfa akidai fidia ya billion 12
Shitaka hilo la Profesa Mahalu lilikuwa ni la pili, likiwa limetanguliwa na lile la mfanyabiashara wa Dar es Salaam, Yusuf Manji, ambaye anamdai mengi SH. Billion 100 kwa kashfa ya magazetini.
Mzee Rufiji,
Huyo mzee Magufuli, wabongo pole pole wameanza kumshitukia kama nilivyosema siku nyingi zilizopita kuwa hana tofauti na Keenja, kazi ya Billioni moja wao wataifanya kwa billioni Tano na kuwadanganya wananchi na viongozi wenzao wasiojua kitu kuwa ni wachapakazi hodari,
Mtu wa kwanza kunishitua kuhusu Keenja na Magufuli, alikuwa mzee Mkama, aliyechukua nafasi ya Keenja kule Halmashauri ndiye aliyenushitua kuwa hawa wawili ni magirini hawa, tena akanionyesha mpaka mahesabu ya Keenja, ambayo baadaye yalipelekwa kwa Mkapa, lakini hakuna hatua iliyochukuliwa maana Keenja ameoa nyumba moja na rafiki mkubwa wa Mkapa, mzee Sumaye!
Kuna mjumbe mmoja mpya wa kamati ya bunge ambayo zamani ilikuwa ujenzi, na sasa ni Miundombinu, anasema kuwa huko kuna ushahidi wa kutosha kuwafunga maisha mzee Mkapa pamoja na Magufuli, kwa hiyo pole pole utaona vitu vinatolewa mapaka atoke!
Hakuna binadamu alie sawa. ila Jaji warioba sio corrupt.
Hakuna binadamu alie sawa. ila Jaji warioba sio corrupt.
Huyu Mengi atakuwa na hela nyingi sana. Bil 100, Bil 12, za Warioba kiasi gani vile?
- Zamani nilidhani Warioba was for real, mpaka nilipopata info zake akijaribu kumtisha masikini balozi wetu mmoja huko majuu, kwamba ni lazima ubalozi umlipie mtoto wake rent, ndio nikamshitukia kua ni another joker tu kama wengine wote kina Makamba, ambaye amejengewa nyumba na Manji, pathetic!
Huyu Mengi atakuwa na hela nyingi sana. Bil 100, Bil 12, za Warioba kiasi gani vile?
- Zamani nilidhani Warioba was for real, mpaka nilipopata info zake akijaribu kumtisha masikini balozi wetu mmoja huko majuu, kwamba ni lazima ubalozi umlipie mtoto wake rent, ndio nikamshitukia kua ni another joker tu kama wengine wote kina Makamba, ambaye amejengewa nyumba na Manji, pathetic!
Mkuu.....kwa kawaida huwa nakuaminia sana.....ila kwenye hili...umekosea kabisa!
Jaji hajawahi kumtishia balozi yeyote kumlipia mwanaye...rent wala gharama nyingine yeyote...Nafikiri hii ni mojawapo ya zile story za kijiweni.....
Ukimjua vizuri hayuko hivyo unavyomdhania kabisa......
Mkuu Heshima mbele...
Sasa mbona jamvini wote wanaonekana hawafai!? Kaazi kwelikweli.Ningeweza kushauri muswaada maalumu upelekwe bungeni kwa ajili ya kuanzisha mahakamu maalumu 2.Moja iwe inasikiliza kesi za kudaiana fidia na ya pili iwe kwa ajili ya kusikiliza kesi za rushwa kubwa.Huko tuendako naona mambo ya nafumuka sana!