Kweli Dr Mengi anaweweseka facts and figures za last week zilikua siyo Mchezo .... I wish pangekua na video ya alichosema Prof : Muhongo hakusema kampuni ya madini mengi anayomiliki imaukubwa wa dar Es salaam Tatu Bali alisema viwanda anavyomiliki Dr Mengi in total vinaukubwa sawa na dar Es salaam Tatu .... Dr Mengi asipindishe maneno ajibu hoja aseme ukubwa wa viwanda vyake vyote anavyomiliki plus aridhi anavyomiliki wewe kwa shuguli binafsi in total ni ukubwa gani.
Kuna watu mna chuki,na angekuwa chadema ndo angekupa urahisi wa kutukana zaidi mbaguzi wewe.Mengi ni wa kupuuzwa tu. Alikuwepo kwenye kongamano na alitoa mada. Kwanini hakujibu pale pale anasubiri akafiche na kurekebisha data kwanza. Mfu tu huyo hana mpya
Acha uongo na uzushi!Alisema anamiliki vitalu vya gesi vyenye ukubwa sawa na mara tatu ya ukubwa wa mkoa wa Dar-es-salaam.
Kama kuna mtu mwingine ambae aliona kipindi kile tunaomba nae atoe maelezo bila kuchakachua ukweli.
Rostam aliyekuwa mweka hazina huko magambani?Irelevant.Nanasi na pera.Mengi ni mlafi wa kupindukia,he is next to Rostam for his worthness but still exploiting his employees and not paying their salaries at regular and right time !....analilia uzawa?....nashangaa hata CCM bado hawajamfukuza uanachama coz jamaa anafitina balaa,aligombana na Adam Malima sasa kahamia kwa Professor kuna nini kwenye madini?
Kwani kauli ya Muongo inahusiana vipi na geology?usikariri.Mengi ameshindwa mjadala anakuja kuseeck public sympathy, ni wajinga wasiopenda kuumiza kichwa wataacha kumsikiliza geologist prof sos mhongo na kumsikiliza mengi na porojo zake.
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP,bwana Reginald Mengi,ameseme kauli iliyotolewa na Prof.Muhongo hivi karibuni katika kongomano linalohusu uwekezaji si ya kweli.Katika kongamano hilo,Prof.Muhongo alidai kuwa Mengi anamiliki eneo la mgodi ambalo ukubwa wake ni sawa na mara tatu ya eneo zima la mkoa wa Dar-es-salaam.Bwana Mengi amekanusha taarifa hiyo na kudai yeye anamilki eneo la takribani 1 square km tu.Mh.Mengi ametoa maelezo hayo leo katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Binafsi niliona kongamano hilo ambalo hata Mengi nae alihudhuria.Katika kongamano hilo, Prof Muhongo alikuwa anajisifu,tena kwa kurudiarudia, kuwa yeye kama mwanasayansi anaongea kwa "facts na data" alafu kumbe data zenyewe ni za kupika!Katika kongamano lile Muhongo alitamka bila aibu kwa kusema "Mengi anamiliki Dar-es-salaam tatu".
Mimi naona huyu waziri si mzigo tu bali ni kizingiti cha maendeleo.
CHANZO:ITV
Kumbe ule msemo wa kuwa Luna wenye masikio lakini hawasikii Una mantiki....yaani huya kilaza Ana amino kuwa mengi Ana VIWANDA VYENYE UKUBWA Wa Mara tatu ya eneo la DSM!!!! Huo utakuwa n msiba wa taifa km kutakuwa na watu 10 tu wenye mawazo mgando km ya huyu zezeta.
Mengiiii. Wacha kutafuta kumchafua Prof. We tafuta hiyo cheap popolarity. Inafaa tukuandalie mjadala live na Prof. akuonyeshe kuwa fedha sio kila kitu.
Rostam aliyekuwa mweka hazina huko magambani?Irelevant.Nanasi na pera.
Mengi ni wa kupuuzwa tu. Alikuwepo kwenye kongamano na alitoa mada. Kwanini hakujibu pale pale anasubiri akafiche na kurekebisha data kwanza. Mfu tu huyo hana mpya
POPOLARITY naomba niijue hii kitu
Leo Mengi ni fisadi....ikifika kipindi cha uchaguzi mnampigia magoti awape shavu.
Akili matope. Ni lini ccm imewahi kujitenga na mafisadi na ufisadi?
Kelele nyiiiingi. Kwani hiyo land amepata kinyume na taratibu?? Wenyewe mmemuuzia kiroho safi. Sasa hivi mbakuja kumbanga nayo?@!
Mengi ni wa kupuuzwa tu. Alikuwepo kwenye kongamano na alitoa mada. Kwanini hakujibu pale pale anasubiri akafiche na kurekebisha data kwanza. Mfu tu huyo hana mpya
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP,bwana Reginald Mengi,ameseme kauli iliyotolewa na Prof.Muhongo hivi karibuni katika kongomano linalohusu uwekezaji si ya kweli.Katika kongamano hilo,Prof.Muhongo alidai kuwa Mengi anamiliki eneo la mgodi ambalo ukubwa wake ni sawa na mara tatu ya eneo zima la mkoa wa Dar-es-salaam.
Hata hivyo,bwana Mengi amekanusha taarifa hiyo na kudai yeye anamilki eneo la takribani 1 square km tu.Mh.Mengi ametoa maelezo hayo leo katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Binafsi niliona kongamano hilo ambalo hata Mengi nae alihudhuria.Katika kongamano hilo, Prof Muhongo alikuwa anajisifu,tena kwa kurudiarudia, kuwa yeye kama mwanasayansi anaongea kwa "facts na data" alafu kumbe data zenyewe ni za kupika!Katika kongamano lile Muhongo alitamka bila aibu kwa kusema "Mengi anamiliki Dar-es-salaam tatu".
Mimi naona huyu waziri si mzigo tu bali ni kizingiti cha maendeleo.
CHANZO:ITV
Mkuu usikariri,tumia ubongo.vroba mnavyokunywa ufpa bavcha si naskia ananunua nyangumi mengi atushangai mkmtetea