Menejiment ya tanesco kuelekea loliondo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Menejiment ya tanesco kuelekea loliondo!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pdidy, Mar 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  Wapendwa yawezekana hata hili giza ni nguvu za giza..baada ya kamati ya makamba kutoa ushauri wake na kugusia wah waende loliondo kuombewa na babu..hivi sasa kuna mpango maalum wa menejiment nzima kwenda kwa muda na kurudi wengine waendeelee ili wakaombewe wajue jinsi gan ya kutunasua na janga hili la tanesco

  BH kazi nzuri
   
 2. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pdidy unaharibu kazi yanug jamani yaani sie masecretary ndio nini??
   
 3. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  :embarassed2: Mie ni Sekretari, tumefanya nini tena jamani PDiddy? Au ndo mawazo potofu unaamua tu sasa kutuvunjia heshima hadharani bila kosa?? :embarassed2: Walikufanyeje masekretari??????
   
 4. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nchi hii inaendeshwa kishirikina, kwa hiyo sishangai wakienda.Babu mwenyewe mbona ni agent wa shetani?Ngoja waende waongeze nguvu za kuzidi kuwapumbaza wapumbazika.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,519
  Trophy Points: 280
  unaweza kuthibitisha haya maneno yako?
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Waende Rais wao si amekwisha kwenda?
   
 7. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama wewe huwezi kuyadhibitisha ni kati ya waliopumbazwa,nakupa pole!
   
Loading...