Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,653
- 20,988
Pole Samia suluhu,kazi unayo yapo mambo HAYAPASWI KUCHEKEWE RAIS WETU.wapiga dili watakuponza maana lengo lao ni kukamua kutoka serekalini,wahimize wafunge liquidify machine ili gas hiyo waigeuze ya majumbani.Ndo ninachokwambia hapa, wanaosimamia uzalishaji wa umeme kwa mabwawa ni Tanesco. Wanaotangaza mgao ni wanasiasa wenye maslahi na uzalishaji kwa njia ya gesi.
Mi nasemaga siku zote, huyo February Manyuzi kawekwa pale kimkakati ili kufufua mikataba ya ajabu ajabu ya ufuaji umeme kama ile ya akina Singasinga na lile jizi zee Ruhemarila, sasa kwa hujuma hii ya kukatiwa umeme kwa kisingizio cha upungufu wa maji, ni kwanini huyo mwizi asitumbuliwe mxhenzi huyo?!Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini.
Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado wataendelea kuzalisha umeme kama kawaida.
Hawezi kutumbuliwaMi nasemaga siku zote, huyo February Manyuzi kawekwa pale kimkakati ili kufufua mikataba ya ajabu ajabu ya ufuaji umeme kama ile ya akina Singasinga na lile jizi zee Ruhemarila, sasa kwa hujuma hii ya kukatiwa umeme kwa kisingizio cha upungufu wa maji, ni kwanini huyo mwizi asitumbuliwe mxhenzi huyo?!
Anasema hatuna winchi ya kubeba tani 26Yeye makamaba anasemaji kwani
Je ni msemaji wa shirika?Si ndio wanaosimamia hilo bwawa ndg? ALiyeongea hayo ni mtumishi wa Tanesco
Mama ana elimu gan ya kujua hayo hivi jama hatujui uwezo wa mama zetu kwenye kujua mambo Japan Tanzania kweli kuna kiongoz mwanamke wakuweza kuongoza mambo mazito kweliPole Samia suluhu,kazi unayo yapo mambo HAYAPASWI KUCHEKEWE RAIS WETU.wapiga dili watakuponza maana lengo lao ni kukamua kutoka serekalini,wahimize wafunge liquidify machine ili gas hiyo waigeuze ya majumbani.
Halafu generator zao wamuuzie nani?Kama hayajapungua umeme uwake.
wapinzani 17:14
Bila shaka ajiandae kupata barua ya kusimamishwa kazi