Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,631
- 20,970
Pole Samia suluhu,kazi unayo yapo mambo HAYAPASWI KUCHEKEWE RAIS WETU.wapiga dili watakuponza maana lengo lao ni kukamua kutoka serekalini,wahimize wafunge liquidify machine ili gas hiyo waigeuze ya majumbani.Ndo ninachokwambia hapa, wanaosimamia uzalishaji wa umeme kwa mabwawa ni Tanesco. Wanaotangaza mgao ni wanasiasa wenye maslahi na uzalishaji kwa njia ya gesi.