Meneja wa bwawa la Mtera akanusha bwawa hilo kupungua maji

Ndo ninachokwambia hapa, wanaosimamia uzalishaji wa umeme kwa mabwawa ni Tanesco. Wanaotangaza mgao ni wanasiasa wenye maslahi na uzalishaji kwa njia ya gesi.
Pole Samia suluhu,kazi unayo yapo mambo HAYAPASWI KUCHEKEWE RAIS WETU.wapiga dili watakuponza maana lengo lao ni kukamua kutoka serekalini,wahimize wafunge liquidify machine ili gas hiyo waigeuze ya majumbani.
 
Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini.

Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado wataendelea kuzalisha umeme kama kawaida.

Mi nasemaga siku zote, huyo February Manyuzi kawekwa pale kimkakati ili kufufua mikataba ya ajabu ajabu ya ufuaji umeme kama ile ya akina Singasinga na lile jizi zee Ruhemarila, sasa kwa hujuma hii ya kukatiwa umeme kwa kisingizio cha upungufu wa maji, ni kwanini huyo mwizi asitumbuliwe mxhenzi huyo?!
 
Hawezi kutumbuliwa
 
mimi sijui kwanini ila najikuta namuamini huyo meneja wa bwawa, sikubaliani na hizi ngonjera kuwa maji yamepungua, wanasiasa walipoona jua limekua kali wakaona ni sehemu sahihi ya kufanya mambo yao ya ujambazi, ndiomaana hizi kelele za ukame zimekuja ghafla sana na kupigiwa promo kubwa, ni kweli mwaka huu nkuna upungufu wa mvua ila hatuajafikia sehemu ya kusema maji yamepungua ndiomaana dawasco wametangaza mgao wa maji ilda ndani ya siku nne wakadai maji yameongezeka na mgao umeisha
 
Mtera ni mojawapo ya mabwaya yanayozalisha umeme unaoingia kwenye Grid ya taifa so vp kuhusu kidatu,pangani,hale ,kihansi etc.
 
Mungu ambariki huyo meneja kwa kuwa mkweli

Majizi kupitia Tanesco tafuteni uongo mwingine sio kusingizia maji
Tulishasema Kuna upigaji unataka kutokea

Wataalamu wa Tanesco simameni na wananchi msikubali kutumika na kikundi kidogo Cha maharamia wapiga dili
 
Pole Samia suluhu,kazi unayo yapo mambo HAYAPASWI KUCHEKEWE RAIS WETU.wapiga dili watakuponza maana lengo lao ni kukamua kutoka serekalini,wahimize wafunge liquidify machine ili gas hiyo waigeuze ya majumbani.
Mama ana elimu gan ya kujua hayo hivi jama hatujui uwezo wa mama zetu kwenye kujua mambo Japan Tanzania kweli kuna kiongoz mwanamke wakuweza kuongoza mambo mazito kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niko kwa kiti napata viazi vya kuchemsha toka Gairo nikishushia na maziwa fresh nlopata hapo ubungo maziwa huku nikifuatilia mchezo wa kuigiza wa MAHARAGE na wenzake, natumai mchezo utakuwa na funzo kuu kwangu kwahiyo niko makini sana kufuatilia

Pia mchana ntakuwa napata mihogo ya kuchemsha toka Muheza na samaki wa kuchemsha walovuliwa mto ruvu, ntakuwa naangalia mchezo maarufu wa CHOPA MTONI
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom