Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.
Source; ITV habari
Huu ndio ukweli wa hakika japo ni mchungu!
By the way, Sidhani kama huu uzi utaachwa!!
Angesema asilimia 100 kabisa ili manyumbu mjipe kick za mwisho. Ila huyo fisadi hapati hata asilimia 10.Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.
Source; ITV habari
Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.
Source; ITV habari
Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.
Source; ITV habari
Teh teh teh..Angesema asilimia 100 kabisa ili manyumbu mjipe kick za mwisho. Ila huyo fisadi hapati hata asilimia 10.
Pete yake ya kichawi inawavuta mazuzu kwenye mikutano lakini haina nguvu juu ya masanduku ya kura