secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,839
- 8,651
Kipindi cha covid njemba zilibwata bwata na kutisha watu....ha haaaMnafurahisha sana pale kipindi cha moto wa #covid19 mlivyokejeli ila kwa sasa mnaamini huyo Mungu atawasaidia hadi kutumia Bible kama reference.
Mnafanya watu tutabasamu.
Nimeelewa vizuri sana,,niliamua kuchomekea tu...
Naona mkuu, siku izi umempokea bwaana awe mwokozi wa maisha yako.*MENE*, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
*TEKELI*,umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
*PERESI*, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.
Jr[emoji769]
Me'ne Me'ne te'kel na par"sin
Nimeshindwa jikaza....dah....bro wewe🤣🤣🤣🤣
Jamaa wametoa makalio kweli hiyo ndo demokrasia..😂😂
Elections 2020 - Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020unga jihudi chief mshana.
hamfanyi chochote awamu hii.
mbona mnakuwa wabishi?
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu cha ovyo kama kuwa mwongo halafu mpumbavu.Kwenye corona: Mungu ni kitu gani? Yani italia na Saudia kulipoanzia dini hajamfuatisha Mungu sembuse tz?!
Kwenye uchaguzi wa oktoba: Mungu ndio kila kitu na maandiko yananukuliwa!
Hahahaa... Hizi ni dalili za homa ya kipigo.
Mkuu umekula kweli..?😅
Mbona kama wewe ndio mjinga na mpumbavu? Unaelewa kanuni za Mungu kweli? Au unafikiri Mungu anatazama kama wanachadema watazamavyo?Hakuna kitu cha ovyo kama kuwa mwongo halafu mpumbavu.
Tunachosisitiza siku zote acheni kumkejeli Mungu, Mungu hasikilizi muuaji wala anayefurahia mauaji ya watu wasio hatia. Mwenye mamlaka na uhai wa mtu ni yule aliyeutoa.
Namaanisha hichihichi..Vyakuliwa vipo vingi.. Kipi kimojawapo kaka.. Kama ni hii ndio namalizia View attachment 1472105
Jr[emoji769]
Hatima ya watawala waovu imeandikwa wazi katika biblia. Hakuna mtawala muovu kama huyu wa kwenu aliyeishia pazuri. Watà wala wote wa mkono wa chuma, Sauli, Ahabu, Rehoboamu, Yareboamu nk mwisho wao ulikuwa aibu juu ya vichwa vyao.Mbona kama wewe ndio mjinga na mpumbavu? Unaelewa kanuni za Mungu kweli? Au unafikiri Mungu anatazama kama wanachadema watazamavyo?
Hivi unafikiri Mungu angekuwa na mtazamo kama wako duniani hapa mvua ingenyesha? Sasa ulishawahi kujiuliza kwanini Mungu anawapa mvua wabaya na waovu?
Mwisho wa yote biblia unaijua wewe? Umeisoma hasa kuhusu mambo ya utawala?
Duh.. Basi ngoja nikuache, huelewi kituHatima ya watawala waovu imeandikwa wazi katika biblia. Hakuna mtawala muovu kama huyu wa kwenu aliyeishia pazuri. Watà wala wote wa mkono wa chuma, Sauli, Ahabu, Rehoboamu, Yareboamu nk mwisho wao ulikuwa aibu juu ya vichwa vyao.
Usiwe kama mpumabvu ndugu yangu. Kwenye suala la corona watu walikejeli kwa sababu kuna mjinga mmoja aliona njia ya kupambana nayo ni kusali tu! Mungu ametupa maarifa na kwenye biblia hakuna kifungu kinachosema binadamu azembee kwa kutokuchukuwa tahadhari za magonjwa bali ategemee sala tu. Umewahi kutumia neti ya kuzuia mbu? Kwa nini hukulala bila neti na kusali ili Mungu awafanye mbu wasikung'ate? Umewahi kunawa mikono wakati wa kula? Kwa nini hukula bila kunawa na kutegemea Mungu akuepushe na magonjwa? Sasa linapokuja suala la corona kwa nini watu wasichukue tahadhari zilizotolewa na wataalam lakini wahimizwe tu kusali? Angalia usiwe mjinga kama huyo aliyekuwa anawazukumizia watu kwenye nyumba za ibada ambako uwezekano wa kuambukizana corona ni mkubwa!Mnafurahisha sana pale kipindi cha moto wa #covid19 mlivyokejeli ila kwa sasa mnaamini huyo Mungu atawasaidia hadi kutumia Bible kama reference.
Mnafanya watu tutabasamu.
Sawa ndugu nimekuelewa...Hivi ni tahadhari zipi hatukuchukua tofauti na lockdown na kufunga nyumba za ibada?Usiwe kama mpumabvu ndugu yangu. Kwenye suala la corona watu walikejeli kwa sababu kuna mjinga mmoja aliona njia ya kupambana nayo ni kusali tu! Mungu ametupa maarifa na kwenye biblia hakuna kifungu kinachosema binadamu azembee kwa kutokuchukuwa tahadhari za magonjwa bali ategemee sala tu. Umewahi kutumia neti ya kuzuia mbu? Kwa nini hukulala bila neti na kusali ili Mungu awafanye mbu wasikung'ate? Umewahi kunawa mikono wakati wa kula? Kwa nini hukula bila kunawa na kutegemea Mungu akuepushe na magonjwa? Sasa linapokuja suala la corona kwa nini watu wasichukue tahadhari zilizotolewa na wataalam lakini wahimizwe tu kusali? Angalia usiwe mjinga kama huyo aliyekuwa anawazukumizia watu kwenye nyumba za ibada ambako uwezekano wa kuambukizana corona ni mkubwa!
Asante hicho nimeshiba.. Ni wapi nimesema namuamini mtu? BTW hata kama simuamini its time for change.. We must now have a change of sceneNamaanisha hichihichi..
Maana unaweza jikuta unapigia chapuo yawenzako wanaotaka kugombea urais kumbe tumboni mwako minyoo unaikondesha..[emoji23]
Nikuulize hivi unawezaje kumuamini mwanasiasa kuwa atakuletea maendeleo na msingi huru na haki ikiwa hata ye mwenyewe akijakukalia kiti anaweza kuwa kama walewale..??