Mene Mene Tekeli Peresi ya Magufuli

Mene Mene Tekeli Peresi ya Magufuli

Jee hii inahusiana na ile adhana ya misikitini kabla ya sala za alfajiri na Ijumaa? Kama ndio basi tutegemee msuguano mkubwa utakao tokea

Hao wengine (misikiti) haijatajwa katika taarifa nilizoziona. Yametajwa makanisa, promosheni ya kwenye magari, kumbi za starehe, na sherehe mbali mbali zifanyikazo mitaani.
 
Siku mbili zilizopita vyombo vya habari vimeripoti kwamba NEMC imetangaza kwamba kuanzia sasa mirindimo yoyote na kelele zozote zinazohusiana na sherehe, matangazo, sauti kubwa kutoka majumba ya starehe, magari ya poromosheni, makanisani yatakuwa yanalipiwa shilingi milioni 5 hadi milioni 10. Na kwa yule atakayekiuka atatozwa shilingi milioni 50 ama kufungwa jela.

Kiuhalisia, hakuna kanisa ambalo litaweza kulipa shilingi milioni 5 kwa mkutano wa Injili ya Kristo kwa siku moja hata ingekuwa kwa mwezi. Kwa maana nyingine makanisa yamefungwa speed governor ya kutangaza Habari Njema za Ufalme wa Mbinguni.

Chini ya utawala huu wa awamu ya tano, iwapo NEMC watatekeleza hiyo sheria yao, basi Habari Njema za Ufalme wa Mbinguni zitaadimika kwa kiasi kikubwa.

Historia ya kanisa inaonesha kwamba yeyote aliyejaribu kuzuia makusudi ya Mungu wa mbinguni, mtu huyo aliondoshwa kabla kusudi hilo halijapotea. Mfano mzuri wa Biblia ni ule wa mfalme Herode ambaye tunasoma habari zake katika kitabu cha Mathayo sura ya pili.

ANGALIZO: Wote wenye mamlaka tufahamu kuwa mamlaka kuu ni ya Mungu wa Mbinguni; tuelewe kwamba hakuna atakayenyoosha kidole karibu na mboni ya jicho la Bwana akanusurika, mfalme Belshaza wa Ukaldayo; dola iliyokuwa ikitawala takribani dunia nzima; alijikinai akidhani ni mkuu mno mwenye kuweza kuchafua na kunajisi vyombo vya hekaluni kwa Mungu. Mungu alimfutia ufalme wake akaugawa kwa Waajemi na Wamedi. Daniel sura ya 6.
Imani is a very worst disease in the world.Yaani mtu asali na kupiga kelele KUUUUUUBWAAAAAAA na kuvunja sheria ndo anaenda mbinguni?????????????????HUJUI KUVUNJA SHERIA NI DHAMBI.Mungu anasikia hata kabla hatujaomba
 
WEWE NI MNAFIKI MKUBWA UNAYESIMAMA NA NGOZI YA UKRISTO. NINAKUKEMEA KTK JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH USHINDWE. NA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ILIYOMWAGIKA MSALABANI KWA AJILI YA WENYE DHAMBI IKAFUTE LAANA ULIYOIACHILIA KWA RAIS WETU KIPENZI DR. JPM

UNAFIKI NI DHAMBI KUBWA SANA CHINI YA JUA!!!!!!

WEWE NI NANI HATA UMWAMBIE RAIS WETU UFALME WAKE UMEFIKA MWISHO!!!! UNA USAFI GANI HAPO ULIPO HATA UFIKIE KIWANGO CHA KIROHO CHA DANIEL. SITAKI KUYAWEKA MAMBO YAKO HUMU ILA NAKUONYA USIRUDIE TENA KUFANYA USHETANI HUU!!!

MKRISTO ALIYEJAZWA ROHO MTAKATIFU NGUVU YAKE IKO MAGOTINI. ULIMI WAKO UMEJAA LAANA BADALA YA BARAKA. HIZO LAANA ZIKURUDIE NA KUWA KAMA VAZI MAUNGONI MWAKO. WAKRISTO WENZIO WANAFUNGA NA KUOMBA KUMUOMBEA MHE. RAIS KTK MAENEO YOTE WEWE UNAACHILIA LAANA????? SHAME ON YOU!!!!!!! UMEISOMA VIZURI HIYO SHERIA NA KUIELEWA????

HIVI INJILI NI LAZIMA IHUBIRIWE KWA KUPAYUKA????? MIAKA ILE WAKATI TUNAOKOKA INJILI ILIKUWA MAN TO MAN. HUPANDI DALADALA AU BASI AU NDEGE NA KUFIKA UPANDE WA PILI BILA KUMSHUHUDIA MTU. WEWE LEO HATA JIRANI ZAKO NA UNAOFANYA KAZI NAO WANATILIA MASHAKA WOKOVU WAKO MAANA MATENDO YAKO HAYAFANANI NA NENO LA KRISTO!!!

INJILI YA LEO INA WAPIGA DEAL WANAFIKI WAKUBWA NA WAFANYABIASHARA. HIYO NI DALILI YA MAFARISAYO. UNGEKUWA UNA ROHO WA BWANA WEWE UNGEKAA MAGOTINI NA KUJUA TZ INAPITA KTK MAJIRA GANI YA KIROHO!!!!

UMENIUZI SANA KWA JINSI ULIVYOKOSA HEKIMA!!!!!! NA MANENO MABAYA ULIYOYATUMIA KWA RAIS WETU HALAFU UNAJIITA MKRISTO a.k.a FARISAYO

NAOMBA MLIONIELEWA MUMPUUZE HUYU FARISAYO NA MSIACHE KUMUOMBEA RAIS WETU. MAOMBI YAONGEZEKE BAADA YA KUMUONA ADUI WA NYUMBANI MWETU.

MUNGU AKULINDE RAIS WETU (Zakaria 4:5). UKAFANYIKE BARAKA KWA TAIFA LA TZ NA KWA WATANZANIA WOTE MUNGU ALIOWAWEKA MIKONONI MWAKO. HEKIMA KAMA ZA MFALME SULEIMAN ZIENDELEE KUTIRIRIKA KUANZIA KICHWANI MWAKO NA KUSHUKA KAMA MAFUTA NDEVUNI MWA HARUNI HADI KWA WATU WAKO. (ZABURI 41:1-2).

Queen Esther

Tangu ulokole uingie Tanganyika, hadi kufikia 1968, pale kina Moses Kulola walipoanza kuihubili Habari Njema ya Ufalme wa Mbinguni kwa kuihubiri nje ya makanisa; hapo ndipo Neno la Mungu aliyehai lilipoenea Tanzania kuliko wakati wowote kabla ya 1968.
 
Kuna wakristo mpo humu na Mungu yupo kazini mnajifanya mnatoa maneno ya kinabii ya kinafiki, hamna utu wala ubinadamu, mna ro ho zaidi ya wanyama maana kukitoa vita huweza kujificha katika pori moja. mshindwe na mlegee kwa jina la Yesu. acheni kulichafua neno la Mungu endeleeni na unafiki wenu na nasema kama mtumishi pia wa Mungu wapo watu hapa kitapawapata kitu cha aibu na watasahau hata kupata muda wa kutubu. MSHINDWE
 
Tangu ulokole uingie Tanganyika, hadi kufikia 1968, pale kina Moses Kulola walipoanza kuihubili Habari Njema ya Ufalme wa Mbinguni kwa kuihubiri nje ya makanisa; hapo ndipo Neno la Mungu aliyehai lilipoenea Tanzania kuliko wakati wowote kabla ya 1968.

Neno la Mungu aliyehai lilianza kuenea Tanzania kuliko wakati wowote mwaka 1968?
Nani kakudanya kuhusu hili?
 
Siku mbili zilizopita vyombo vya habari vimeripoti kwamba NEMC imetangaza kwamba kuanzia sasa mirindimo yoyote na kelele zozote zinazohusiana na sherehe, matangazo, sauti kubwa kutoka majumba ya starehe, magari ya poromosheni, makanisani yatakuwa yanalipiwa shilingi milioni 5 hadi milioni 10. Na kwa yule atakayekiuka atatozwa shilingi milioni 50 ama kufungwa jela.

Kiuhalisia, hakuna kanisa ambalo litaweza kulipa shilingi milioni 5 kwa mkutano wa Injili ya Kristo kwa siku moja hata ingekuwa kwa mwezi. Kwa maana nyingine makanisa yamefungwa speed governor ya kutangaza Habari Njema za Ufalme wa Mbinguni.

Chini ya utawala huu wa awamu ya tano, iwapo NEMC watatekeleza hiyo sheria yao, basi Habari Njema za Ufalme wa Mbinguni zitaadimika kwa kiasi kikubwa.

Historia ya kanisa inaonesha kwamba yeyote aliyejaribu kuzuia makusudi ya Mungu wa mbinguni, mtu huyo aliondoshwa kabla kusudi hilo halijapotea. Mfano mzuri wa Biblia ni ule wa mfalme Herode ambaye tunasoma habari zake katika kitabu cha Mathayo sura ya pili.

ANGALIZO: Wote wenye mamlaka tufahamu kuwa mamlaka kuu ni ya Mungu wa Mbinguni; tuelewe kwamba hakuna atakayenyoosha kidole karibu na mboni ya jicho la Bwana akanusurika, mfalme Belshaza wa Ukaldayo; dola iliyokuwa ikitawala takribani dunia nzima; alijikinai akidhani ni mkuu mno mwenye kuweza kuchafua na kunajisi vyombo vya hekaluni kwa Mungu. Mungu alimfutia ufalme wake akaugawa kwa Waajemi na Wamedi. Daniel sura ya 6.
Aisee braza umeandika upuuzi
 
Huwezi ukamdharau Mungu kiasi hiki eti unavamia sehemu ya ibada mnamchukulia Mungu poa, this time mtaelelewa Kwann Elia alisema na ijulikane Yuko Mungu!

Menemene tekeli na peresi
P
 
Back
Top Bottom