Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
Hehehehehe.......... leo ni siku ya mazoezi ya kwaya yetu....
CCM ndie mamaaaaaa!
Biya safffffeeeeeeeeeeeeeeeeyy??
Oh jamani wivu waniuaua.hata kama ni mimi au si mimi msa... anajua supu ya pweza pale ipo!
Fuga mijusi
Yeah, vitu vikishapanda kichwani baada ya mfuko kutoboka na wallet kubakia tupu, tunakikumbuka chama twawala.Nasikia hiyo kwaya yenu mnapooza koo kwa kunywa vile vinywaji kodi yake inaendesha nchi.....
CCM daimaa.
Paloma wene mndee iwe...mi nilidhani ni "Mende" kumbe ni mende? hao hawana shida aangalieni mtu anayewafanyia fumigation anatumia dawa gani, zipo dawa za aina tofauti tofauti ntakutafutieni mtu/ Kampuni tunayoitumia ofisini kwetu, kwa nyumbani kwangu ni suala la usafi tu
Mende kuwashikisha adabu principle ni moja tu. Usafi na kupanga vitu vyako vizuri, usiwape nafasi maana wanapenda sehemu zilizojificha jificha zisizo na hewa wala mwanga wa kutosha. Ukicombine hii pomoja na dawa walizosuggest waungwana hapa, hakika nakwambia mende utawasikia kwa majirani Paloma
:cell::cell::cell::cell::cell:
Pole sana.Mimi nimetumia dawa moja inaitwa Akeri Powder.Inatengenezwa pale Lifestock Training Institute(LITI)-Tengerus,Arusha.Kwa hiyo inapatikana kwenye maduka ya dawa ya mifugo kwenye ujazo tofauti.Mimi imenisaidia sana na mende wamepungua.Kwani kila nikifanya "general cleanliness" ya nyumba huwa nainyunyuzia kwenye mapitio ya mapende sakafuni na kwenye kona zote za vyumba ambapo mende hujificha.
..umejuaje@Palomahahahhaa......ndo unaamka nini?