Kasindeee nimekumisi hatar nimelejea kasinde mahaba matataLugha ya kichwa cha uzi inanasibu...
Leo nilikuwa kwenye kijiwe changu cha kustaafia, Kasinde Juice Shop.
Akaja mdada mmoja nikawa nachukua ladha za matunda anayotaka nimsagie juice....
Kumbe alikuwa na mume wake, alikuwa amesimama kwa mbali nyuma. Kabla hajasogea mahala nilipo na mkewe akiwa kule nyuma alijaribu kuonesha lugha ya picha kama kunisemesha kwa codes huku mkewe akiwa amempa mgongo.
Nikampiga jicho paap nikarudi kukonsetreti na oda ya mteja wangu ambae ni mkewe. Nikainua tena jicho naona macho yake na mikono vinanisemesha....
Siku respond chochote, nikageuka kutengeneza juice na ilipokuwa tayari nikampa mkewe. Wakati nampa, ilikuwa take away akaja. Akanisalimia kwa bashasha na kuanza kujisemesha...
Huyu ni mke wangu, ndo waziri wa mambo ya ndani wangu, sifurukuti kwake. Akisema leo hutoki natii, akisema usalama mdogo tutoke hapa natii.....!
Nikatabasamu na kumwambia am happy for you, you have a cute and humble wife.
Kisha nikawatakia weekend njema na nikaendelea na wateja wengine.
Men....!
Hat and pen down.
Picha za uzi kesho. βΊοΈ
View attachment 2033106
Kesho yw jana ndo leo...βΊοΈ.
Kasieee mahaba matata kama naota kukukuta jf tenhaLugha ya kichwa cha uzi inanasibu...

Exactly, the point of chasing the married man with those words.
Well thatβs what fills his mind.
Canβt change him.
Chief, you can't differentiate love and like?
Iko hivi, kama kuna mke wa mtu ananisumbua tuwe nae kwa mahusiano na sitaki hilo jambo, naweza kumwambia nampenda zaidi mme wake kuliko yeye. Hapo haimaanishi nampenda mme wake tuwe nae kwa mahusiano, la hasha. Namaanisha namtakia mema na sitaki kuharibu furaha na amani yake, sioni ni jambo zuri kumjeruhi kwa kukubali kuwa na mke wake, huo si ni upendo?
Sijajua kwanini unataka kuhusisha kila upendo na mapenzi.
Sio kila upendo ni mapenzi lakini huwezi kupinga kuna upendo wa mapenzi, sasa inatakiwa the line of demarcation to be drawn in between to distinguish the two---- which is which, and every body has his/her own line of demarcation and that's where the saga starts.
According to the statement in subject, what is your issue? In the story context, especially the one you quoted.
The contest is; I smell lesbianism in it, it stinks the smell of immorally in the very beginning.
Chuo gan bibi? Huenda nakujaga hapo [emoji12][emoji12][emoji12]Nisamehe ila naomba nirekebishe kauli yako kwa nia njema tuu na wala si majivuni.
Ukija kijiwe changu uje kwa nia ya kupata huduma ya Juice asilia na si kuniungisha.
Kijiwe kiko njia ya kwenda Chuo kikuu.
Karibu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa Bongo hii, utaanza kuimbiwa ngonjera lol.Chief, you can't differentiate love and like?
Iko hivi, kama kuna mke wa mtu ananisumbua tuwe nae kwa mahusiano na sitaki hilo jambo, naweza kumwambia nampenda zaidi mme wake kuliko yeye. Hapo haimaanishi nampenda mme wake tuwe nae kwa mahusiano, la hasha. Namaanisha namtakia mema na sitaki kuharibu furaha na amani yake, sioni ni jambo zuri kumjeruhi kwa kukubali kuwa na mke wake, huo si ni upendo?
Sijajua kwanini unataka kuhusisha kila upendo na mapenzi.
Shukria!Order iko tayari, waweza ipitia.
Karibuu π.
Ujuwe kuna storage fee....π
Charged per hour, order ikiwa tayari inatakiwa ichukuliwe....
Kengeee menyeweeee ππ