Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Na anabembeleza penzi kwa mchizi ile mbaya .. na mchizi hamuelewi Wala Nini [emoji16][emoji16][emoji16]

Maisha haya Ni Homa kamili

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Hujui kama wife yupo humu au lah!!

2. Anaijua ID yako moja!!

3. Una IDs 10+ hapa JF!

Kama hujui kama yupo humu ni yupi huyo unayemstalk kimya kimya kwa ID ya 10?

Ujinga raha sana.[emoji276]

Sijui kama yupo humu..!Nilimanisha sijui kama anakomenti kwenye hili jukwaa.! Anapenda mambo ya mapishi so sijui kama anapitaga na hapa. So ni suala la kutuliza akili kuelewa nilichokiandika
 
Kweli mwanaume umetulia ila mwenzako akipungukiwa 5000 anakigawa free kabisa. Wanawake wanalika sana sababu ya kupenda wepesi wa maisha.
 
Yani nyie ndio bure kabisa, mnasema siri mbele ya majeshi pinzani ohooo tutarajie ndoa nyingi kuvunjika.
 
Sio machale siku yako inakuja
 
Tabu yote ya nini?? Siku moja utakamatwa tu
 
Kwa iyo ukigundua na we utang'atwa
 
No phone calls, no sms, no WhatsApp we are just twitting our DMs
Juzi kati kuna malaya mmoja town nimemla akaanza kuleta mazoea ya texts na simu nikamuita tuonane sehem kweli akaja akakuta nakula vyombo nae akaagiza alichoshangaa sikua na mchangamkia kama kawaida, nikamwambia nilishakuonya usinipigie simu wala sms ila naona hatuelewani, sasa kwakua umeshindwa kufuata conditions naomba mambo yaishie hapa, lets forget kama tumewahi kugongana tubakie kuwa marafiki kama ilivyokua awali, demu kashtuka kajifanya kupanick ila nikamwambia thats it.
 
Wengine hatuwezi kabisaa, yaani siku nikiwa na mchepuko najulikana siku hiyo hiyo. Nimeshashidwa kuhandle mahusiano mawili kwa wakati mmoja. Labda ni breakup alafu nianze mengine mapya ila vichochoro vimenishinda.
 
mbinu nyingine tukiziweka ni hapa hatari sana kiama kitashushwa kesho yake!!! maana vijana wa siku hizi hamtumii akili
 
Mchepuko usimruhusu kuzoea kuku call na kuku SMS, tumia Insta, Twitter, Signal basi

Hakikisha muda wa kuupa raha mchepuko uko ndani ya ratiba za Majukumu yako ambayo hata wife anatambua

Sambaza upendoo, sambaza love, sambaza Engonzi, sambaza bolingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…