Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu kakuta chupi kwenye suruali ya mume
Mwingine kaambiwa kwani we huna ex wako
Yani vituko mpaka nimewaza hivi kwanini wanaume wanaoa kama wanasumbua wanawake kiasi hicho
Mambo yako hivyo pande zote 2 ... Kuna wanaume pia Wana sumbuliwa na wanawake kila kukicha ... Ila nikwakuwa wanaume hatunaga desturi ya kuongea mambo yetu hadharani kwa kuwa huwa tunatafasiri kwamba tutaonekana wadhaifu so hiyo Hali inapelekea jamii kutotambua ukubwa wa changamoto zinazo tuzunguka ktk mahusiano
 
Watu wanauza siri za kambi [emoji23][emoji23][emoji23].! Uzuri Mke wangu sijui yumo humu au lah..! Ila mimi natumiaga ID za kumi so anaijua moja nyingine huwa nam stalk kimya kimya akijua kibenten kimejilengesha [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16] akili Hana huyo jamaa
 
Akishakuwa mchepuko you don't need to care kuhusu yeye kuwa na mtu or watu wengine atajijua mwwnyewe na balaa lake ilimradi yeye akupe utamu tu then maisha ya endelee
Afya ya mchepuko wako...inauhusiano na Yakwako...Akichepuka mchepuko..akapata maradhi ..mkeo nae kapata ...
Sasa utasemaje mchepuko afanye atakalo
 
Mpe mpenzi wako mahaba ila asikutese tese sijui jeuka huku 😅😅
 
Mkuu baada ya hapo ndoa iliendelea kuwepo?
 
Akishakuwa mchepuko you don't need to care kuhusu yeye kuwa na mtu or watu wengine atajijua mwwnyewe na balaa lake ilimradi yeye akupe utamu tu then maisha ya endelee
Noma sana mkuu, una uzoefu wa kutosha [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kuna kitu gani kipya kinapatikana kwa mchepuko na kukosekana kwa mke!!...kwa upande wangu hakuna kipya zaidi kero tu majuto, nimeacha mambo hayo kitambo sana baada ya kuona ni hasara badala ya faida, kama mbunye ni ileike cha muhimu nikuwa mbunifu tu na mkeo utamuona mpya kila siku.
 
Wewe wasema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…