Requal
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 1,025
- 1,906
Wewe mwanamke sikiliza..Just a boyish mindset
Kuna umri ukifika ukiwa una associate na wanawake in a serious way hiyo akili itabadilika.
Nina kila kitu katika haya maisha, nina familia pia.., hata wewe naweza kukumiliki..nataka uelewe kwamba sina urafiki na mwanamke..
Labda awe mbaya. Elewa hivo tafadhari