Men Talk 4: Mwanaume usitongoze kila mwanamke aliyekaribu na wewe, hata kama anavutia kiasi gani. Some are meant to be just friends

Just a boyish mindset

Kuna umri ukifika ukiwa una associate na wanawake in a serious way hiyo akili itabadilika.
Wewe mwanamke sikiliza..

Nina kila kitu katika haya maisha, nina familia pia.., hata wewe naweza kukumiliki..nataka uelewe kwamba sina urafiki na mwanamke..

Labda awe mbaya. Elewa hivo tafadhari
 
Kipindi nasoma, naishi home kwa wazee, mfanyakazi wa ndani aligundulika ana mimba. Ikabidi ahojiwe muhusika ni nani. Ile nyumba watoto wa kiume tulikuwa watano ( kuna mtoto wa baba mdogo nae alikuja kutembea maana alikuwa likizo chuo). Kulingana na mazingira ya pale home, sio rahisi yule dada kutembea na mtu wa nje ya nyumba, kwahiyo ilo swala lilimpa mzee hasira sana, maana ilikuwa wazi muhusika wa ile mimba ni kati ya sisi watano.
Kunandhana moja umeongea hapo ambayo sio sahihi. Eti ata utembee na pisi kali kila wiki hutawamaliza... Who told u kwamba lengo nikumaliza pisi kali zote duniani? Ni sawa na kusemanata unywe kreti mia kwa siku hutamaliza bia zote duniani....thats just stating the obvious.

Watu wanasasambua mbususu kwa kuburudika, ni kama challenge ile kuweza kuwavu chupi warembo...kafeeling flan hivi u cant put in words. Yote kwa yote mwanamke akijilengesha wewe sasambua tuu hiyo mbususu.
 
Kipindi nasoma, naishi home kwa wazee, mfanyakazi wa ndani aligundulika ana mimba. Ikabidi ahojiwe muhusika ni nani. Ile nyumba watoto wa kiume tulikuwa watano ( kuna mtoto wa baba mdogo nae alikuja kutembea maana alikuwa likizo chuo). Kulingana na mazingira ya pale home, sio rahisi yule dada kutembea na mtu wa nje ya nyumba, kwahiyo ilo swala lilimpa mzee hasira sana, maana ilikuwa wazi muhusika wa ile mimba ni kati ya sisi watano.
Inafikirisha! Asante sana.
 
Fact
 
Kwa mtu yoyote anayetambua ni kwamba ili mwanamke akuamini na muheshimiane unatakiwa umle. Hata Julias ilibidi amtafune Cleopatra ili mambo yakae sawa.
 
Mwadiko mzuri sana mtiririko wa hoja pamoja na mawazo makuu. Naomba ruhusa siku nitumie hili andiko lako mahali.
 
Feel free mkuu kushare any where. Ila usisahau kuipa credit JF kama source ulipoitoa hii habari.
 
Back
Top Bottom