Men Talk 3: Mwanaume usizae na mchepuko

Take time, chagua mke atayekidhi vigezo vyako. What if ukienda kujaribu nje, ila nako ukatoa watoto wajinga then unagundua ujinga unatoka kwako na sio kwa mama watoto?
ndugu bado huwajui vizuri wanawake bado kidogo muda utaongea
 
mhn! hii idadi ya wanawake na watoto mbona kama huyu mtu namjua! lakini haiko poa kihivyo kama unavyofikiria subiri uncle aondoke utaona mziki wake baada tu ya miaka 3 baada ya unle kuondoka uje utwambie
 
Aisee

Watu wanajazana ujinga...wanafarijiana ujinga
Ila wanajikaza tu hapa lakini ukweli wanaujua.
We differ in life style. Maybe ilo ndio chaguo lao, though impacts zake kwa kiasi kikubwa huwa ni negative.
 
ungemnasa vibao tu huyo malaya
 
ungemnasa vibao tu huyo malaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio rahisi kama unavyofikiria. Ila kama ningekuwa katika nafasi ya huyu jamaa aliyetoa ushauri, nisingemshauri hivyo.
 
Usijikatae sana
Kuna Boss mmoja mkubwa tu alifiwa na watoto wawili wakiume wakubwa..msiba mkubwa sn wote ndani ya mwaka mmoja
Ila alikua kazaa na mke mdogo pia..mtoto mwingine wa kiume...walau atafarijika..imagine ingekua 0/0!
 
wakipiga bei si mali yao???

la maana tu wewe saka pesa hasa siku wanatangaza kuuza wewe nunua kwa pesa yako ..

.halafu kata pesa yako kwenye thamani ya nyumba. Wafukuze faster!! Na polisi juu!!
wasije hata kuomba maji.
Weye ndo unamiliki rasmi sasa.
 
Kuna uncle wetu mmoja, alikuwa ana mke karibia kila mkoa utafikiri jogoo wa kuazima...

Sasa alipofariki ishu ikawa ndugu kuanza kusomesha watoto wa marehemu, wanandugu wengine ikawalazimu hadi kuuza mali zao ili watoto wa kaka walau wasome...
yaani niuze mali yangu kwa ajilibya mtu aliyeona raha kukojoa hovyo...


i see!!!!
 
bora wewe unashuhuda

wengine wanatetea kuchepuka na kuzalisha hovyo


mara nyingi tabia hii huumiza watoto...kwa starehe ya muda mfupi kabisa
 
inawezekana mumewe ana tatizo!!!!
 
Nke akikupa stress wewe mpige mimba tu ahangaike nayo
 
Watoto wa kike ni Asset, Wala sishangai, Nina watoto wa kike tupu na wananipenda balaa, ndio faraja yangu na furaha Yangu. Sina mpango wa kuzaa nje eti nitafute wa kiume. Waweza kwenda kumpata huyo wa kiume na ndio aje kukusumbua, namshukuru Mungu Kwa mabinti hawa na i am very happy as a responsible Dad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…