Acha mambo ya kizamani,watu hawapaki perfume kwakuwa wananuka,wanachohitaji ni kunukia.Tshs 4,500/- tu, nakula kitu cha CHASTITY au ROYALE na siku inaenda!!
Perfume sio issue sana kama mwili haunuki ha ha ha!!
Zipo mkuu kuna mahali nimezikuta wanauza 15,000/=,ila hata mimi nazikubali ni nzuri ingawa inabidi uwe makini kuna fake na original ukienda kichwakichwa utalia....HIvi ONE MAN SHOW na ROYAL MIRAGE zimeishia wapi? Binafsi kuna wakati nilikuwa nikiitumia sana hii Royal Mirage. Imetulia sana na kuna siku moja moja pia huwa najikumbushia...!
Tshs 4,500/- tu, nakula kitu cha CHASTITY au ROYALE na siku inaenda!!
Perfume sio issue sana kama mwili haunuki ha ha ha!!
Hii imenikumbusha enzi zile za LY (last year)Kobra.
Huwezi kuamini ila mie ninazo PERFUMES nzuri sana za KIKE na KIUME.
Kwa bei hiyo utapata Perfume nzuri kabisa MADE IN EUROPEAN UNION na tuna kibali kabisa kutoka kiwandani na unaweza hata kuwaandikia baadaye kuhakikisha kama kweli sisi ni WASAMBAZAJI WAO kwa Tanzania.
Ngoja nikuwekee Tangazo langu hapo chini:
Dada yangu anauza Perfumes kwa sasa. Nashukuru Mungu kuwa wote wanaozijaribu, wananunua palepale. Wengine wananunulia hadi ndugu zao au rafiki zao. Bei zetu za juu ni Sh.30,000 kwa chupa ya Ml.100 kama unataka tukuletee (Kwa Dsm tu), Sh.25,000 ukija kwetu au maeneo ya mjini, na Sh.20,000 kwa bei ya jumla. Bei ya jumla tunaanzia chupa 10 kwenda juu (+ gharama za usafiri). Zilizobaki nyingine ni chini ya hiyo bei. Ukiangalia hapo, utaona kuwa ni bei nzuri sana kwa Perfumes ambazo ni Original na zimetengenezwa ndani ya European Union.
Karibuni wenye maduka, wauzaji rejareja ofisini na watumiaji wa kawaida. Kuna baadhi tayari zimeisha, hivyo wahi ujipatie kwani kwa sasa ni Promotion Price. Mzigo utakaofuata, bei kidogo zitapanda. Tuwasiliane +255717283199 (Neema)
Mnh..naona una hela za mchezo, elfu thelathini perfume tu? jamani?
kaka kwa sasa niko Arusha lakini mwezi wa 10 nitakuwa Dar, je ninawezaje kufanikisha?
Wakuu Perfume Original, Zinagundulika Vp?
Maana Perfume Zangu Zote,zinakaa Mwilini Masaa Mawili 2!
Kwa bajeti hiyo nakushauri ununue pafyumu zifuatazo:-
1.YOLANDA
2. YU
3. LEDI GEI.
Ninunue perfume ya laki tano ili iweje?kwa hiyo pesa nunua tu sabuni ya dettol yenye manukato mazuri uwe unapaka. au nunu mafuta ya YU au SHANTA yatakusaidia.( nakutania nudgu usi mind)
zipo perfume za rasasi kwa hiyo bei zinaweza kukutoa. kwa masaa 12-24 harufu inakuwepo kuwepo si haba nawe unaonekana una utuli mwilini. otherwise nunua perfume zetu za 200,000 mpaka 500,000 hizi si mbaya sana.
hahahahaha GuDume kupanga ni kichaguamatumizi tu ndugu yangu wala si gharama sana. mi huwa nanunua za 600,000 mpa mil 1. napenda perfume nikiwa nimeishiwa ndo nanunua hizo za 400,000. ni uevi tu kama wewe unavyotumia simu ya mil 1.5 wakati yangu mimi ni 900,000 tu. au unavyovaa saa ya 700,000 - 1,000,000. wakati mimi yangu ni ya bei rahis 570,000 tu. kupanga ni kuchagua.
swali sept 19 2012kwa hiyo pesa nunua tu sabuni ya dettol yenye manukato mazuri uwe unapaka. au nunu mafuta ya YU au SHANTA yatakusaidia.( nakutania nudgu usi mind)
zipo perfume za rasasi kwa hiyo bei zinaweza kukutoa. kwa masaa 12-24 harufu inakuwepo kuwepo si haba nawe unaonekana una utuli mwilini. otherwise nunua perfume zetu za 200,000 mpaka 500,000 hizi si mbaya sana.
swali sept 19 2012
jibu Aug 29 2017
kazi kweli kweli πππππ
sema kufukua nyuzi kama hizi sometimes inasaidia tunajifunza vituha ha ha ha.... si ajabu hata aliyeuliza alishafariki... umenifanya nicheke sana. anyway akija kusoma uzi wake tena atapata msaada.
KUMBE DADDY NAWE UNAIKUBALI PERFUME HII HAHAHAAAAAAduh...hivi CHASTITY hawana perfume...jamaa nawakubali