Yaani binti anarudi na kukuta anamdogo wake mgongoni mwa mama yake anauliza jina lake ni na nani anaambiwa huyu anaitwa John na binti anasema kumbe mdogo wangu kachukua jina la baba. Mama anamuangalia binti kwa uchungu na kuanza kulia, binti anauliza mama mbona unalia? Mama anasema unayemuona huku mgongoni ndiye baba yako ni ile dawa uliyotutumia aliinywa yote niliyombakishia. Patamu hapo unaanza kumvalisha nepi baba yako. Kazi ipo kumpanga katika poti na kumnawisha. BabaMtotoBaba
Men NEVER listen............''
That's true, Men NEVER listern, dunno why???????.................
Call me Lizy,
That's true, Men NEVER listern, dunno why???????.................
Call me Lizy,
Kama umemaanisha "Men never listen to women", I think it is because some women ignore the fact that they MUST understand their husbands a lot and love them a little.
.
I like that!

Nimewahi kujikuta kwenye wakati mgumu sana kuwaelewa hawa dada zetu (mabinti). Mwanaume nilichanganyikiwa nisipate wa kunisaidia.
Hii mistari ilinipa majibu na kunifungua macho:
- To be happy with a man, you must understand him a lot and love him a little.
- To be happy with a woman, you must love her a lot and not try to understand her at all.
.
...men never listen? mnh,
siku moja mkiwa mmelala jifanye unaweweseka ukimtaja taja "John" halafu akusikie!!!,...kama hujaamshwa na konzi!!!
wajua; njia muafaka ya kumfanya spouse wako akusikize ni kuweweseka usingizini!?
...men never listen? mnh,
siku moja mkiwa mmelala jifanye unaweweseka ukimtaja taja "John" halafu akusikie!!!,...kama hujaamshwa na konzi!!!
I can add one thing in this:, "MEN NEVER ASK"
Call me Lizy