Men lets be fair kwa kweli

kila la KHERI MKUU,, WENZAKO SASA TWAKIMBILIA NUCLEAR AGE. MAPENZI MNAFANYA KWA NJIA YA HEWA,
 
mkubwa unafahamu kitu kinaitwa password, im the only to access the folder.
Wa wapi wewe??

Mie wa hapa hapa
Ati password? ...ndo unajitambia nayo? Hiyo inatolewa tu mbona
 
Aiseeeh hivi na wewe msichana unaamua kabisa kujipiga hizo picha za utupu au unaruhusu akupige hizo picha unakuwa na akili sawasawa kweli????
 
Hivi na kwanini hasa upige picha sehemu za mwili wako uchi???....Ina maana mkitazamana humo vyumbani hamtosheki...mbona mkiitana kufanya mambo yenu mnajificha hamfanyii hadharani??....nachukia kweli aaarrrrrrhggghhh.
 
duh!...watu wana moyo aisee..
maana papuchi ilivyo na sura mbaya...kama ngozi ya goti..bado unalisave simuni..na kulitazama..!!!!!
Ptuuuuuuuuuuuuu....

hahahaaa! Unaitema papuchi kweli,, kweli, kweeelii!!!???

Wewe huna mpenzi, au una BRAIN TUMOR, HUENDA ULIKUTANA NA PAPUCH MBAAYA HADI IMEKUACHIA PSYCH.SCARS.
 
Hivi na kwanini hasa upige picha sehemu za mwili wako uchi???....Ina maana mkitazamana humo vyumbani hamtosheki...mbona mkiitana kufanya mambo yenu mnajificha hamfanyii hadharani??....nachukia kweli aaarrrrrrhggghhh.
mahaba mahabati acha kabisa mapenzi hayana formula
Aiseeeh hivi na wewe msichana unaamua kabisa kujipiga hizo picha za utupu au unaruhusu akupige hizo picha unakuwa na akili sawasawa kweli????

akili unakuwa nazo zoote sema sasa hapo unataka kupalilia penzi likiwa mbali.... mumeo amekumisss anakuambia nitumia chakula yangu uwezi kataa unaenda washroom inaifotoa unaiweka hewani
 
hahahaaa! Unaitema papuchi kweli,, kweli, kweeelii!!!???

Wewe huna mpenzi, au una BRAIN TUMOR, HUENDA ULIKUTANA NA PAPUCH MBAAYA HADI IMEKUACHIA PSYCH.SCARS.
ha ha ha haha hahaa
 
mahaba mahabati acha kabisa mapenzi hayana formula

akili unakuwa nazo zoote sema sasa hapo unataka kupalilia penzi likiwa mbali.... mumeo amekumisss anakuambia nitumia chakula yangu uwezi kataa unaenda washroom inaifotoa unaiweka hewani

Kisa kumfurahisha mpenzi akaaah mwache anune tu kwakweli, kwanza anayekupenda kweli atakuheshimu na kamwe hutosikia akisema uo ujinga.
 
wengine ni husband wewe sema ndiyo hivyotena mahaba nipofue

wewe uwezi unamdogo wako ndugu yako mtoto wako anafanya hayo madudu kwa nia nzuri tu... msiongee hivyo ni shida huku mitaani watoto wanaacha shule

hivi hiyo nia nzuri uliyong'ang'ania ni ipi miss chagga?
 
Last edited by a moderator:
mahaba mahabati acha kabisa mapenzi hayana formula

akili unakuwa nazo zoote sema sasa hapo unataka kupalilia penzi likiwa mbali.... mumeo amekumisss anakuambia nitumia chakula yangu uwezi kataa unaenda washroom inaifotoa unaiweka hewani

duh, kuna mume wa hivyo kweli? atakuwa mpiga nyeto huyo, si bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…