Kujitambua kwa wanawake imekuwa kazi ngumu sana aisee. kwa upande wangu hii naiita tu ni umbumbumbu pamoja na kujifanya mzungu uchwara tu! wakati mwingine mjaribu kuwaiga mabinti wenzenu wanaoishi katika mazingira ya mashambani kule! sidhani kama huo utamaduni upo kwao! Hata kama mmesoma, jaribuni kuchambua kati ya mchele na pumba, kipi kinatakiwa kwenda kupikwa na kingine kwenda kuliwa na kuku bandani...
Tena hawa wanawake wanaojiita wenye elimu ndiyo wanaoongoza kwa kujitwisha zigo hili la picha za XxX !
Hivi mnaringishiana hizo papuchi au?
samahani kama nimetoka nje ya mada!