Men lets be fair kwa kweli

sasa unapomtumia si ndo unazidi kumuaharibu sasa, nguvu zote kwishney!

amna nani ka kwambia picha inamaliza nguvu ngoja nikutumie uone ila na wewe utume kalio
 
kwahyo unataka ushindane na wanaume au? mbona wanawake ndio huwa wa kwanza kutuma pcha zao bila hata kuombwa!
 
Kuna bidada aliwahi kuwa muhanga wa picha utupu akajichomoa roho..sampuli bank fulani hivi ya kizalendo.

Tuma ukijua itatumika kukuaibisha!
 
miss chagga big up sana kwa huu uzi. Umenisaidia kufahamu kwamba watu wanaishi na wapenzi wao kwa kuogopana na kuoneana aibu.

Na ndio maana michepuko inaendelea shika kasi.

Yale ambayo wanaona aibu yafanya na wake zao wanayakuta huko nje wakichepuka na mwishoe huishia ita wake au wame zao washamba kumbe ni ujinga wao wenyewe.

Team Eiyer et.al aka Team AIBU ,,badilikeni sasa.

Mapenzi ni UTOTO,
Mapenzi ni UCHAFU,
Mapenzi KUCHIZIKA,
Mapenzi KINYAAA,
Mapenzi EVERYTHN
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…