Nimekataa, hayo maisha ya kizamani, siku zinavyokwenda tunazidi kurahisisha maisha, computer ya kwanza ilikuwa kubwa sana lakini leo hii tunaongelea smartphone na tablets, gari zilikuwa manual leo hii kuna automatic.
Naamini katika output and simplicity