I learned this from my parents , and i saw how it worked, let me share :
Mwanaume: lazima uwe handy, uwe na ujuzi wa kutengeneza gari likiharibika, kutengeneza hata kitasa, kukata majani, mabomba ya maji yakipasuka na shughuli ndogo ndogo ambazo zitahitaji fundi, utapunguza mlolongo wa watu ndani ya nyumba yako ambao baadae wataiweka ndoa yako matatani.
Mwanamke: jifunze hata kushona, kupika keki, mikate midogo midogo na vitafunwa mbali mbali, itamfanya mumeo akupende zaidi kwa kukuona mbunifu.
Siku njema, na muwe na familia bora.
..mwanaume hata tool box hana!!!
..manake hata kufunga socket, kupigilia msumari sehemu, basi hata kupaka rangi huwezi, aaah!!
Hommmiiieeee is that youu???Na bado kwenye 6*6 awe useless.
What a loss.
Hommmiiieeee is that youu???
Great mada kwa kweli, Hii hupunguza hata stress-kutwa kuchwa umekaa na computer, mwili umebweteka, unanenepeana, maisha yanakuboa, unakosa hata appetite ya vitu vyote. Ni tabu.
Pia if a woman mumewe akionja hata keki aliyopika akasema ahsante na kuamua kumfanyia hata kitu kidogo(even a kiss). Kwa kweli hii huongeza nukta kwenye maisha ya ndoa
Hii hata uwe down kivipi kwa hiyo idara,huwezi itafundi akutengezee kabisaa!!Na bado kwenye 6*6 awe useless.
What a loss.
..mwanaume hata tool box hana!!!
..manake hata kufunga socket, kupigilia msumari sehemu, basi hata kupaka rangi huwezi, aaah!!
Back then when I met my husband, I did not know how to cook anything. But he never once complained. Nakumbuka ipo siku nilipika wali ukaungua halafu mbichi. He ate. I used to cry in the kitchen. lols. But all he ever said was you will get better.
Indeed I did. I used to bake cakes for him, cookies.
My my my! Didn't he love me?