Men/husband battery is alarming! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Men/husband battery is alarming!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Dude, Feb 28, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  I think Kenyan men will not go to hell.Because you don‘t go to hell twice.

  Having your wife smacking your ass is at the least an abomination,and it subjects a man to a hell that is mental anguish/injury..

  Apparently,men battery is alarming,and it is not in Kenya alone.You all remember a man who took away his life in Serengwti late last year on account of torture by wife?

  Now,is a real man becoming an endangered specie?Where is all that masculinity that we grew up so fond of?
  Or is a real African woman becoming an endangered specie?For since when a woman rose to spank her husband?

  Now i know this is provoking,but do we really need Kenya‘s sort of ‘Maendeleo ya Wanaume‘ organisations to unearth all these men battery cases and speak for us men? Will that help a thing,boost our ego and make us live up to our manhood?

  And women,what is it that has gotten to you that you spank your men? Do you really think men should be beaten to get some sense into them? Under what gounds is beating your hubby justifiable?

  Didn‘t you all dream for equality?And isn‘t is the position of the law that all people are born equal,and are equal before the law?

  Don‘t you think men deserve some dignity?What is the way forward?

  Alright i may sound ‘utopian‘ but the point is,do you think spouse beating is justifiable under any circumstances?And do you think husband is justifiable?Does it help?
   
 2. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Any grown ass man who gets his ass whupped by his wife should have his 'man card' revoked!
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  we Nchuchu wee unacheza,hayajakukuta,muulize bishanga abashaija.
   
 4. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mkuu we ushawahi kudundwa na mkeo?
   
 5. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa ambao hatujaoa tunahitaji kuwa makini..binafsi kwangu aspect moja wapo ya wife material ni hiyo..is she a potential boxer?If so,then she aint a wife!
   
 6. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mwanaume ukipigwa na mkeo hustahili tena kuitwa mwanaume!

  Na sidhani hata yeye atakuheshimu unavyostahili kuheshimiwa.
   
 7. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  sio tu kwamba nshawahi,na mdundaji yuko hapa hapa jf.
   
 8. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Tih tih tih..pole sana!

  Sasa akija kusoma na kuona umemuanika hapa si atakupa kipondo kingine....au?
   
 9. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  natembea na RB,ajaribu aone.....
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ndo maana unashinda na kukesha bar

   
 11. libent

  libent JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Bishanga leo umelala saa ngapi?
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Aisee cdhan km leo kalala huyu inawezekana kuna kitu kakose na ukeshaji wake humu ni kukwepa kichapo!
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Ila tuendako wanaume watazidi kupungua maana hiki kizazi cha wadundaji ambao ni wanawake kinazidi kuongezeka
  Si ajabu kukutana na mwanaume asubuhi na mapema ana ngeu ukimuuliza anasingizia alipata ajali ya toyo jana yake. Unajiuliza jamaa ana usafiri wake au anapelekwa na gari ya ofisi mpaka home kwake. Sasa hiyo bajaj alipanda saa ngapi unakosa jibu
   
 14. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Binafsi nadhani hao wanawake wamebahatika kupata wanaume wasiopenda shari, na wameamua kuchukulia advantage of their kindness, kiukweli haiingii akilini mtu uliyemlipia kwa gharama kubwa kwa wazazi wake, ndugu wakapata mgao, bibi akapewa blanketi then apate nguvu ya kukudunda!
  Ni vizuri kuwa na hizi organisations with regard to the contemporary world mwanamke amepewa protection to the maximum kiasi kwamba hata wewe ukimgusa tu utaitwa mnyanyasaji, hata kama yeye ndo kalianzisha.
  Ni vizuri hizo organisation ziwepo kuweza kupigia kele sheria kandamizi kwa wanaume, leo wanasema mwanaume hawezi kubakwa na mwanamke? What about psychological rape? Mambo ya gender equality yanahitaji usawa sio upendeleo, otherwise tunarudi kulekule.
  Hata hivyo hiyo mianamke ya kenya inafahamika kwa ukorofi, we mcheki Lucy kibaki, she never stops slapping someone!
   
 15. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Unajua nao waacheni waendelee na iwe ni tabia yao, akifungwa mmoja, wa pili, wa tatu, kumi, mia, na wanaume tukaanza kuwaepuka, watajiona wajinga na tutaishi kwa kuheshimiana.
  Tatizo la miafrika inachukulia gender issues kwamba ndo kumpendelea mwanamke, we need Men organisation ili watu waweze kutendewa haki. Wanawake wengi pia ni wanyanyasaji ila wanajiweka kwenye mgongo wa kusema wao wako vulnerable.
  Msipokuwa makini mambo ya gender haya yanaletaga matatizo sana especially kwa miafrika inayoiga uzungu wakati hata hao wanawake wa kizungu wanataka equality lakini hawataki kupiga mume, na wanataka kuplay part zao as a wife!
  African women, you need to redefine your motives behind gender equality, is this all about au mlitaka welfare of yourself.
  By the way mie nasema ukweli, asije akajidanganya kuniletea varangati yani nitafungua butcher.
   
 16. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kwani mnadundwa bila sababu?
  Halafu akipigwa mwanamke sawa ile mkipigwa nyie linakuwa tukio!
  Hows that?! I say mkileta mambo ya ajabu tutawanyoosha kama kawaida..
   
 17. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  The point is, sio wanaume wote wanatabia za kupiga wake zao, kama bado jamaa anakudunda pole zako.
  Nadhani words are easy than actions, hebu anzeni mbona maneno mengi? Anza leo dadangu ukirudi home chukua mchi wa kinu mtwange nacho mumeo, sawa mama?
  Usidhani kwa nini tunapinga ukatili wa kijinsia, sasa tumewekeza pesa nyingi kwenye elimu kuhusu ukatili wa jinsia tena kwa manufaa yenu then mnajifanya mnaweza, sasa anzeni sie tutafanya matendo ya ukweli.
  Mnajua msiwe wapuuzi, wanaume wa siku hizi wamestaarabika hawapigani, ila ukijaribu utapata jibu, dont take long.
  Napitisha Azimia: wanawake wote wenye kutaka kudunda waume zao, leo jioni mkirudi majumbani kwenu au waume zenu wakirudi, piga hilo dude, limbwa, nyani, nguruwe lifie mbali. Halafu tutaona na ukatili wenu mtaishia wapi?
   
 18. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unataka kusema kupigwa na mpenzio kama kuna sababu, ni sawa? Chukulia wewe ukipigwa hata kama umekosa ni sawa?
  Unawaza kwa kutumia nini ndugu?
  Nadhani hata mwanamke akipigwa ni ishu, hapa tunatakiwa kufahamu kuwa ukatili wa kijinsia ni kosa.
  Ila its your choice, we piga mumeo, ukitaka muue kabisa, then utacheka na mkono wa sheria. Kumbuka sheria zipo.
  Ila kwangu mimi kabla ya kuomba msaada wa sheria, kwanza naondoa hiyo show yote, meno ya sebuleni utayasikia kwenye radio tu, haina kutabasamu
   
 19. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  unaji contradict mwenyewe..
   
 20. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  How? Soma with merits ili uelewe nachokisema, usidhani ninavyotetea wanaume ni kama sitotetea wanawake. Penye ukweli ni vizuri kuambiana. Wewe umeelewa sema hautaki kusema umekubali.
  Anyway i still urge you to go on and try to slap your man, you can even strangle him kama ndio unachotaka, then utaona kinachofata.
  Watu mbona mnashabikia ukatili wa jinsia? Whether a woman or a man kapigwa na mwenza wake, it is a crime and we must stop this.
   
Loading...