Men, Do you ever feel guilty for breaking a woman's heart?

Men, Do you ever feel guilty for breaking a woman's heart?

You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.

Mh....hii mbona inanihusu sana kama vile unanitusema wengine humu
 
Teh! Wanawake wengine bana, sitaki nataka zinakuwa mingi sana.

Pole sana, endelea na maisha mengine.
 
Inatokea tu kama bahati imelala upande wako ndo unachukuliwa jumla hata yeye anajikuta tu amekubeba jumla....hata wewe ni shahidi umesuuza kwa wangapi hadi ukafikia kwamba ngoja nichukue jumla sasa (in case tayari) na unaweza kuniambia hao uliosuuza walikuwa na kasoro gani kubwa ukilinganisha na huyo uliyenaye?

Hahaha, hebu nitafute.
 
Yaaini mijanaume ndivyo ilivyo ina tabia kama za lusifaa

hata lusifa mwenyewe ana afadhali iangalieni sana mitapeli hasa inayotokea pande za ziwa

Dada kanda ya ziwa tumefata nini tena kwani wa pwani wao wapo vipi?
 
Sijui ngoja niite kamati tujue tunamuachia nani...wengine wajitoe ili kuepuka mgawanyiko wa chama

Cc ibra87 Kaboom mito

Mkuu huyu simuwezi..Mambo ya kuja kufunguliwa uzi baada ya kuachana mi siyataki
 
Last edited by a moderator:
wa pwani wako wastaarabu sana ila kanda ya ziwa wakoboom kabisa halafu hao wakishapepeta ngano humwaga na kisha kuzoa ngano ingine tayari kuichakachua ndo mlivyo nyie kwani mm mwenyewe niko huko nawafahamu sana
Dada kanda ya ziwa tumefata nini tena kwani wa pwani wao wapo vipi?
 
tumuachie mwenyewe mhusika ndo anajua zaidi kwani yy na huyo wanajuana
Huo ndio ukweli, tatizo thread karibu yote mmetukandamiza sisi wanaume sana, kama tatizo lipo kwake pia ajue mahusiano mapya yatakuwa na changamoto zile zile au kubwa zaidi.(simuombei mabaya ) ila ni vizuri kuangalia pande zote.

Wapi alikosea, wapi hakuwa fair n.k....naamini hadi huyo mwanaume kumtongoza alivutiwa nae, kuna kitu kilimvutia. Sasa kwanini alimuacha? Mimi na wewe hatuwezi kujua! Majibu sahihi anayomuhusika.
 
wa pwani wako wastaarabu sana ila kanda ya ziwa wakoboom kabisa halafu hao wakishapepeta ngano humwaga na kisha kuzoa ngano ingine tayari kuichakachua ndo mlivyo nyie kwani mm mwenyewe niko huko nawafahamu sana

Duh....noma sana kwahiyo wazee wa kunywa kahawa na kashata huku wamevaa misuri a.k.a mamwinyi ndio bora hebu tutake radhi kanda ya ziwa tupo exceptional sana...huwezi kusema watu wa pwani bora kuliko sisi nafikiri hujakaa nao vzr
 
He does not deserve you, he got what he wanted from you.He is a liar. Dust yourself up and move on.
As a matter of fact thank God for removing him from your life. Sometimes when they leave us, its not because something is wrong with us, but it is because we are way better than them in such a way that they cant handle us. He is not for you. Something better will come for you. One that can appreciate you.
Ndo mnavyopeana moyo !!!
 
Mtaisoma namba...
Wanaume ni cc...
Popote mlipo tupo..
papuchi mbele kwa mbelee...
 
Wachangiaji wengi hawajajibu swali kama binti alivyouliza, sijajua kwanini but naona kama ni vita iinayoendelea baina ya Me na Ke ya kutupiana lawama ambapo imepelekea kupoteza kile kilichodhamiliwa na mleta Uzi..

Labda Mimi naomba nijibu kwa upande wangu..yes girl,I feel guilty sometimes for breaking women's heart coz breaking up most of the times happen voluntary or involuntary..

Mi mapenzi sijawai kuyachukulia masihara hata siku moja naheshimu sana mahusiano na hata ikitokea nimemmwaga mpenzi wangu basi nitatoa sababu ambazo ni very strong yaani beyond reasonable doubt ambapo hata yeye hatashindwa kujitetea and this is what I'm doing in my all relationships

Nakumbuka one of my GF nilipomuacha alilia sana mpaka akaniambia anaomba nipretend kama nampenda tu kwa kumridhisha hata atakaponiitaji niwe naenda kwake ili mradi tu awe happy , for sure Nilijifeel guilty sana ingawa yeye ndio alisababisha so there was nolle prosequi.

Sometimes feeling guilty inatokea tu kwasababu mmeachana na mlikuwa happy so mtamisiana pia kitu chochote ambacho kimewai kuwa sehemu ya maisha yako esp we men tunafeel kitapata tabu sana kikiwa mbali na wewe coz everything hurts all the time..
 
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.

Hata wana wa izrael mungu aliwapa mana na asali bureee lakn walichoka kula aina hiyo ya chakula kila cku,ndivyo binadamu tulivyo kitu huwa na thaman wakat hujakipata
 
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.

Anonymous 101, hapo ni kama vile umejikwaa ukaanguka, hivyo unapaswa kuinuka kung'uta vumbi na kusonga mbele na maisha. Pia usipoteze muda kumuwaza mtu mzima kama wewe coz huwezi kujua ni yepi unaepushiwa kwa kuendelea kuwa nae.

Wanasema mlango mmoja unapofungwa mara nyingi huwa kuna opportunity ya milango mingine kufunguliwa hivyo usipoteze muda kuendelea kuuangalia mlango uliofungwa bali jitahidi kuiendea mingi ambayo imefunguliwa.

Pole na kila la kheri!!
 
Last edited by a moderator:
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.

The guilt is there my dear.. We choose to ignore it.

Pole lakini.
 
Back
Top Bottom