Men, Do you ever feel guilty for breaking a woman's heart?

Men, Do you ever feel guilty for breaking a woman's heart?

I know I'm not perfect and I have my flaws but I was faithful. Tulikua vizuri kabisa yani wiki baada ya yeye kuhamia sehemu mpya ndo haya yameanza. Sijui kapata mwingine au vipi lakini naomba ujibu swali langu.

NI PM MIMI NIKUPE JIBU SAHIHI hata hivyo siyo tatizo kubwa sana kuumia majibu ninayo.
 
Wanaume wana VICHWA viwili, so inategemea muda huo anatoa maamuzi damu ilivilia sana kwenye kichwa kipi!
 
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.

Sometimes we dont get what WE SAW.....
 
labda kwa pam ila wale wengine mi naonaga poa tu!
 
Hahaa pole dadaa I know how u feel....effort zote zinakuwaga kwaajili ya papuchi tu na si vinginevyo akishaipata aendelee kusubiria kitu gani tena?

Hawa watu hawana tofauti wote wapo sawa.

My dia kwanini umechukua maneno yangu?Yani lengo kubwa ndo hilo na akionja pupichi ajisubirishe kwa ajili ya nini?

kweli? hao wanaochukuliwa jumla nao lengo ni papuchi tu? au zao zinatoa asali nyingine nyongo?!
 
wanawake wengi huacha lifestyle zao na kufuata mwanaume wanasahau kuwa walipendwa kwa sababu ya utofauti wao,and the more unique the more interesting.
kila kitu kikizidi kinakinai...kama umeachwa bila sababu ya msingi shukuru kwani alikutamani.
usipokee kila fursa iliyopo mbele yako
 
utakuta alikuwa anampiga mizinga asubuhi jioni halafu akikimbiwa majanga. Me demu nikiona anapiga mizinga ya ovyo ovyo nammwaga faster

Sio alikuwa anapiga mizinga...alikuwa anapenda kumkumbusha mwanaume kutimiza wajibu wake
 
kweli? hao wanaochukuliwa jumla nao lengo ni papuchi tu? au zao zinatoa asali nyingine nyongo?!

Inatokea tu kama bahati imelala upande wako ndo unachukuliwa jumla hata yeye anajikuta tu amekubeba jumla....hata wewe ni shahidi umesuuza kwa wangapi hadi ukafikia kwamba ngoja nichukue jumla sasa (in case tayari) na unaweza kuniambia hao uliosuuza walikuwa na kasoro gani kubwa ukilinganisha na huyo uliyenaye?
 
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.

Binafsi sijawahi ku-break any woman's heart and never will kwa sababu najua maumivu mtu anayoyapata when his/her heart is broken pia sipendi kwa sababu jambo nisilopenda kufanyiwa mimi sipendi kumfanyia mwingine.

Sababu kubwa inayowafanya wengi kuachwa na kuumia moyo ni kwa sababu wengi huingia ktk mahusiano ya kimapenzi for worng reasons. Pengine wewe uliingia ktk uhusiano with that guy kwa vile ulimpenda kwa dhati na lengo lako lilikuwa ni kuwa naye maishani lakini kumbe yeye alikuwa na lengo tofauti na la kwako. Pengine yeye alikuwa na lengo la kukuchezea tu na kukuacha na wewe ulishindwa kuligundua hilo wakati unaanza uhusiano na ndio maana ukaishia kuumia. Ndio maana kila siku huwa nashauri watu, ili kuepuka kuachwa na kuumizwa moyo ni vyema kabla ya kuanza uhusiano ni vyema kila mmoja akajua ni na madhumuni ya yeye na mwenzi wake ya kuanzisha huo uhusiano.
 
Men always do that,,,hua tuna loose apetite ingawa kuna mawili kua either ww uko too calm means hauna vionjo kuanzia kwenye maisha yakawaida mpk kwenye mapenzi au amepata mwingne ambae anadhan she is better than u or both
 
Na nyie wanawake mmezidi sana kupenda hela.

Mnatukubalia sisi wanaume kwa sababu mmeshapiga hesabu zenu kuwa mkitukubalia tutakuwa tunawahudumia na kutatua matatizo yenu.

Na mwanaume ambaye alikuwa hajadata kihivyo na wewe akishaona unataka kumgeuza ATM aendelee kukaa hapo anasubiri nini?? Wakati hizo hela anaweza kutumia kupata papuchi zingine zilizomzunguka na anazokutana nazo maana wanawake wazuri wamekuwa wengi, kila kona.

Pia kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ni full stress. Ni bora kujichanganya.
Hivi unadhani wote tuna shida na hela au? Tuna wazazi wanaotoa kuliko hizo hela unazolilia wewe. Sio kila mtu anawafanya ATM machine. Get that into your head!
 
Vibaya mno. Men we like that ni vigumu sana kumuachia demu coz tunafeel vibaya sana kuwaumiza that'sy unakuta tuko na wengi coz kutamka kuwa hatukutaki ni ngumu mno. But kwa mademu mmh wao ni fasta
 
Vibaya mno. Men we like that ni vigumu sana kumuachia demu coz tunafeel vibaya sana kuwaumiza that'sy unakuta tuko na wengi coz kutamka kuwa hatukutaki ni ngumu mno. But kwa mademu mmh wao ni fasta
Thank you for your honesty.
 
Hivi unadhani wote tuna shida na hela au? Tuna wazazi wanaotoa kuliko hizo hela unazolilia wewe. Sio kila mtu anawafanya ATM machine. Get that into your head!

we ndio maana umeachwa unaonekana sio mwanamke wa kuolewa watu wanakuelekeza wewe unatoa mishipa ya shingo kujibu unadhani m/ume gani anapenda m/mke mbishi?

Nachohisi amekukimbia sababu ya mizinga ile ya indirect. Unajifanya una hela halafu unamshauri muende sehemu expensive baadae wakati wakulipa m/ume kwa kuogopa kudharirika analipa anakwambia wewe uache tu na kwa akili yako unaona sawa kumbe mwenzako anakuona unamtia loss

Uwa akili zenu kama zimefungwa vile mkimwagwa mnaanza kulialia kumbe tatizo mnalo wenyewe

SAMAHANI LAKINI SIO KWA NIA MBAYA
 
Yaaini mijanaume ndivyo ilivyo ina tabia kama za lusifaa

hata lusifa mwenyewe ana afadhali iangalieni sana mitapeli hasa inayotokea pande za ziwa
 
Back
Top Bottom