Men are cruel to single women

Ukiolewa na kapuku all is well,Ukiolewa na mambo safi maswali kibao..ni kwanini kuna hii kasumba?
 
Swts naomba tu nikupinge ulichokiongea.

Kutuambia kwamba tukifika 26 tumbebe tu yeyote atakayekuja, that's a big NO kwangu, na sitomshauri mtu awe desperate kwa sababu ya age. What is miaka 26 bana? ?? Afu sielewi why mnaconsider as if kumuoa mwanamke ni kama kumpa offer sijui ni favor ambayo hatakiwi aikatae. Kwamba ukifika tu HS nataka nikuoe basi me naitikia tu kwa shangwe "Ahsante baba angu" shaaa. Mpaka umekuja kwangu, una vigezo vyako vilivyokufanya unichague mimi, so usubiri tuone kama na me vigezo vyangu vitakuchagua wewe. Ndoa ni mutual agreement as far as i'm concerned. Na sioni tatizo mtu akiwa "choosy" as long as anajua what she really needs. (Wants Vs Needs). Kuna vitu ni vyema mtu acompromise na kuna vingine si vya kucompromise, visije vikakutesa huko mbeleni

Cha msingi mtu akifikia stage amejua nini kusudi lake ndani ya ndoa, na amempata mtu "wanayeoana" na kusudi lao, basi asichezee nafasi hiyo. Ila akiona mtu haeleweki, kwa kweli akatae tu. What matters the most to me sio kuolewa, Ila ku-last kwenye ndoa. It's of no use niolewe leo, Afu after week narudi ndoa imenishinda, ooh mwanaume ana A, B, C. Ni kweli sikuona mapema kuwa hatuendani au niliconcentrate tu na kuitwa "mke", jamii isininyoshee vidole kwa kuwa umri umeenda? ? I aint in a rush or desperate for marriage , I simply need a good lasting marriage, na ntaisubiria tu no matter how long it takes. Above all msisahau, everything happens in God's perfect time. Hata wanawake wote tungekuwa sawa kwa kila kitu, kila mtu angeolewa siku yake. Yes kuna walio-mess up, na kuna ambao wanasubiri tu siku zao zifike. Kwa hiyo nikifika 40s na bado single, haimaanishi nina matatizo sana teh
 
Do you know what you are doing? you are feeding my mind with a new concept: that you being single at 30's, should not deny my right to be your husband. Please, I can't...because with your age & complaints, it is true you have been f*cked up expecting the next f*cker to be the real MOTHERF*UCKER (husband). convice me more, I beg.
 
Nanyi mjitahidi muwe na vyote jamani khaaah!!! Hivyo vyote si vinatafutwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ni ngumu sana, kupata vyote
malaika muongo na shetani mzuri hawana tofauti.
 
Hivi inapaswa mwanamke akifatwa na mwanaume yoyote akubali?hana/hajui kupenda huyu binti?
 
Ukiolewa na kapuku all is well,Ukiolewa na mambo safi maswali kibao..ni kwanini kuna hii kasumba?
Oooh kafuata pesa tu, mbona kwa kapuku hawaulizi!!! Mie nawadharaugi tu. Ukipenda mwenye pesa people are too judgy,utasikia nenda kachezewe utemwe, utadhani makapuku huwa hawawachezei watu na kuwatema. Maneno tu ya wakosaji.

Just follow yo heart but take yo brain with you.
 
Kuna jambo nmepata hapa,why do men take a marriage offer kama inamsaidia mwanamke Tu?watu wana assume nini,wanaume wote wanafaa kuwa waume kweli??vijana mjitafakari
 
Ndio kuvurugwa au!!!!!
 
Sweet heart umeongea vizuri
natamani nikujibu kwa kirefu ngoja nijaribu ila kwanza appreciate ulichosema.

Nimejaribu kusema na aina flani ya mabinti wanaopata nafasi ya kuchumbiwa wao wanawakataa sababu ya hali za uchumi za vijana hao (tunaumia sana mjue) za kiuchumi halafu baadaye wanaanza kulalamika na kumlilia Mungu.

Kwa jina la upendo kama mtu umempenda akakupenda kuna haja gani ya kuangalia hali yake ya uchumi, muonekano na alipotoka kama upo kwenye umri sahihi?
 
Ni ngumu sana, kupata vyote
malaika muongo na shetani mzuri hawana tofauti.
Si vinatafutwa, tafuta pesa ingia gym pia mbona inawezekana!! Visivyowezekana ni vile vilivyo nje ya uwezo wako,let say kibamia[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kuna jambo nmepata hapa,why do men take a marriage offer kama inamsaidia mwanamke Tu?watu wana assume nini,wanaume wote wanafaa kuwa waume kweli??vijana mjitafakari
Ndugu yangu struggle ya kuoa na kuolewa inatuhusu wote tu. Kuna wanaume ambao washajikatia tamaa ya kuoa kabisa, na wengine wapo desperate hatari. Ila inaonekana kama wanatufanyia favor simply because sisi tuna menopause wao hawana, basi
 
Hivi inapaswa mwanamke akifatwa na mwanaume yoyote akubali?hana/hajui kupenda huyu binti?
Hakuna kitu kama hicho, hapo ndipo wanaume huwa wanakosea, hawajuivkukataliwa hawa, huwa wanajiona they can get every woman they want, ukimreject ndio balaa inapoanzia, na madhaifu yako yooote yataonekana, na laana zote utatwishwa.

Yaani its like women are not supposed to choose, hell NO, cha msingi tu usiwe tooooo choosy(too much is harmfull)ila kila mtu ana vigezo vyake, kama ambavyo wao wana vyao nasi tuna vyetu, maybe ninameet vigezo vyako but yo not. So tupeane nafasi tu, kila mmoja ampate alie sahihi kwake, usifanye jambo kumfurahisha mwingine ilihali unateketea ndani.
 
Sio wote upendo lazima kiwe kipaumbele.

ila wapo wanaomess-up kwa imagination wakisubiri wanaume wa aina flani
ambao wapo kwenye novel na movie tu.
Huwa mnahisi tu hivyo kwakuwa umekataliwa, yawezekana anaemtaka ni kijana fulani ambae ni kapuku tu wa mali lkn sio kapuku wa kichwa. Kwakuwa umekataliwa unahisi atakuwa anamtaka mwenye nazo.
 
Hahahhahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…