Memory kadi bei za tarehe 4 nov 2016 tu

Memory kadi bei za tarehe 4 nov 2016 tu

Basi agiza eBay mkuu. Nipo sana kwenye hivi vitu na sijawahi kuona 256GB
 
Mtu anauza memory card kaziweka ambazo anazo lakini wabongo kutaka kuleta ujuaji kama unajua wapi inapopatikana si uagize huko sasa....
 
Biashara ya mtandaoni inataka moyo sana maana wateja wengi ni wazushi...
 
Mtu anauza memory card kaziweka ambazo anazo lakini wabongo kutaka kuleta ujuaji kama unajua wapi inapopatikana si uagize huko sasa....
Mkuu, tumeuliza kama anazo au kama ataweza kuzipata, ila yeye akakataa kwamba hakuna 256GB, Ndo ikabidi nimuhakikishie kwamba zipo ili kama anaweza atuletee sisi tununue, sasa sijui ujuaji ulioletwa hapo ni kumjulisha mkuu kama zipo baada ya yeye kukataa au? Maana za 128GB zipo sana tu hapa bongo ila mimi nataka ya 256GB, Na hapa nipo kwenye process za kuagiza
 
Back
Top Bottom