Memory card not formatted, format now!


Zuia Sayayi

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
838
Points
195
Zuia Sayayi

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2011
838 195
Msaada na mm jmn
cm yangu (nokia 3120classic) niikingia kwenye Galley kufungua memory card inaniambia 'memory card not formatted' format now
nifanyeje na mm ctak kuiformat
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,725
Points
2,000
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,725 2,000
jaribu kifungulia kwenye pc yako uone inaandikaje...
 
deojames

deojames

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
328
Points
225
Age
30
deojames

deojames

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
328 225
Kama ulikuwa unaitumia zamani na imeanza kuleta hilo tatizo gafla weka kwenye pc then right click memory card go to tools then click check now, weka tick hizo sehemu zote mbili and click ok
 
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,047
Points
1,195
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,047 1,195
Njia nyingine. Weka memory card kwenye pc kisha ukopi files zote uweke kwenye pc kisha rudisha kwenye hiyo nokia yako uFormat baada ya hapo rudisha tena kwenye pc kisha chukua zile files ulizokopi kila file uweke kwenye folder ambalo liko related with that file. Important, Usirudishe zile folder ulizoCopy kama zilivyo bali tumia zile ambazo simu imetengeneza wakati wa kuFormat. OK?
 
Zuia Sayayi

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
838
Points
195
Zuia Sayayi

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2011
838 195
ngoja nijaribu
:nimekataa
 
mkuyati og

mkuyati og

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Messages
779
Points
500
mkuyati og

mkuyati og

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2011
779 500
hapo kwisha habari yake, next tym tengeneza bkup mapema. Lazma ufomat, hata pc itaikataa. Pole
 
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,958
Points
2,000
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,958 2,000
Na mimi ninayo 4gb imegoma!!kuifomati sijui niifanyeje nasubiri wajanjawajanja watupe mautaalamu!
 
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined
Jun 24, 2011
Messages
7,697
Points
2,000
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined Jun 24, 2011
7,697 2,000
hapo kwisha habari yake, next tym tengeneza bkup mapema. Lazma ufomat, hata pc itaikataa. Pole
hii ndo solution tu, format anza upya ila kama hakuwa na backup ndo imekula kwake
 
Zuia Sayayi

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
838
Points
195
Zuia Sayayi

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2011
838 195
Hv nikformatt naweza pata data recover ya kurudisha data zangu?
 

Forum statistics

Threads 1,296,621
Members 498,672
Posts 31,254,017
Top