The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
PJ hicho kitabu kinakumbusha mambo mengi kweli aiseeDu!....!
MTAKUJA PRIMARY SCHOOL!
Unajua we kijana unanikumbusha mwaka gani wewe?
Du!....!
MTAKUJA PRIMARY SCHOOL!
Unajua we kijana unanikumbusha mwaka gani wewe?
Halafu umechomekea kwa raha zako! dahmwaka ule unakwenda shule bila viatu
mfukoni umeweka mahindi ya kukaanga
umevaa kaptula bila c.h.p ndani hahahahahaha
maisha yalikuwa ya raha
Halafu umechomekea kwa raha zako! dah