Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,212
- 4,328
Hivi wakuu hivi vitu shule,za mising nchini kwetu bado vipo? Mana zaman miaka ile,(mimi nasoma primary 2002 to 2008) vilikuwepo na vilikuwa poa sana tumefanya wakuu,miaka ile mambo meng ya kuwajenga vijana wanafunzi yalikuwapo na nyimbo za kishujaa.sijui saiv mambo yakoje? Memiss sana those moments at that time.mnakumbuka haya mambo humu?