Memeory lost after flashing phone

Ndahani 3D

Member
Jun 6, 2016
17
0
Msaaada kwa yeyote anayejua sababu za kupotea kwa memory storage space kwenye simu baada ya ku flash... Aeleze apo na jinsi gan naweza kufanya recovery
 
Ulitakiwa ufanye backup kabla ya kuflash simu yako, otherwise kama kuna mdau yoyote atakuwa na option nyingine
 
Msaaada kwa yeyote anayejua sababu za kupotea kwa memory storage space kwenye simu baada ya ku flash... Aeleze apo na jinsi gan naweza kufanya recovery
Tecno H6 ina firmware mbili,kuna old version inakua na freespace 2gb ambayo ndio umeflash wewe,na new version ina kuja na 5gb storage,
Solutions ni kupakua latest version kisha flash upya, unaweza ipata hapa How To Update Your Tecno H6 To The Latest Rom To Get 5gig Storage Space | Androidvillaz

Kumbuka kuto chagua preloader wakat una flash.
 
Back
Top Bottom