Ndahani 3D
Member
- Jun 6, 2016
- 17
- 0
Msaaada kwa yeyote anayejua sababu za kupotea kwa memory storage space kwenye simu baada ya ku flash... Aeleze apo na jinsi gan naweza kufanya recovery
Free space huwa inakuaga km gb5.3 but baada ya kuflash zkawa 2.01gbsimu aina gani
SIMU AINA GANIMsaaada kwa yeyote anayejua sababu za kupotea kwa memory storage space kwenye simu baada ya ku flash... Aeleze apo na jinsi gan naweza kufanya recovery
INATEGEMEA TOOL ALIYO TUMIA INATAKIWA KU FORMATTecno H6
Tecno H6 ina firmware mbili,kuna old version inakua na freespace 2gb ambayo ndio umeflash wewe,na new version ina kuja na 5gb storage,Msaaada kwa yeyote anayejua sababu za kupotea kwa memory storage space kwenye simu baada ya ku flash... Aeleze apo na jinsi gan naweza kufanya recovery
Naomba namb yako nkuchekie whatsapp unielekeze stapewiseTecno H6 ina firmware mbili,kuna old version inakua na freespace 2gb ambayo ndio umeflash wewe,na new version ina kuja na 5gb storage,
Solutions ni kupakua latest version kisha flash upya, unaweza ipata hapa How To Update Your Tecno H6 To The Latest Rom To Get 5gig Storage Space | Androidvillaz
Kumbuka kuto chagua preloader wakat una flash.
Wapi hujanielewa mkuu? Hiyo simu si umeflash mwenyew au ulipeleka kwa fundi?Naomba namb yako nkuchekie whatsapp unielekeze stapewise
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Poa ..nipm ntakupa namba ,
Nmeku inbox nambaU mean??