Membershp Only Movie&Whatsapp Request Group

Inanishangazaga sana kiukweli watanzania watu wa ajabu sana.
Ila wa-TZ Acheni uchawi mbona mnakuwa hivyo.

Yaani mtu anaandika kabisa hakuna hela bure, sasa hapo hela ya bure kivipi wakati mtu anatoa huduma, au kazi mpaka ushike jembe?

Kweli hii nchi ccm itaendelea kutawala mpaka ichoke, tunarudishana nyuma wenyewe kwa wenyewe.
 
Wabomgo wengi ni watu wa ovyo sana
 
Tanzania Ni Pazuri Sana Nchi Ya Asali Na Maziwa
Vyanzo Vya Mapato Ni Vingi Sana
Ndugu Zangu Tufanye Kazi
Ndo maana africa tupo nyuma sana na tunaongoza kwa low income earners...yani mna mind za kishamba shamba mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom